pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 97
Utaratibu ni mzuri, ila kwa nini hamjaweka option ya hakuna anayefaa kati ya hao? Kuna weengine hatuwajui wote. Mbona Mwali hauypo?Wasalam,
Ni mara nyingine tena kama ilivyokuwa inasubiliwa sasa ndio imetimia.
kwanza niwaombe radhi kwa kutokufanya mashindano ya mwezi Dec 2012, hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu licha ya jitihada nilizozifanya za kuwatafuta ambao wangeweza kuendesha mashindano lakini kwa bahati mbaya haikuwezekana. Niombe radhi sana na samahani kama kuna mtu alikwazika anisamehe bure.
Bila kuwachosha,tunamtafuta MISS CHIT CHAT 2012 amabaye ata peperusha bendera kwa mwaka wote.washiriki ni kama ifuatavyo:
1. cacico - miss aug 2012
2. Remmy - miss Sept 2012
3. Madame B - miss oct 2012
4. Ciello - miss nov 2012
5. charminglady - Nafasi ya upendeleo
6. Arabela- Nafasi ya upendeleo
ZAWADI
Zawadi zitakuwa kama ifuatavyo:
a/ Mshindi wa kwanza atajipatia Muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wenye thamani ya TSH 13,000/= pamoja na kulipiwa JF Bronze(mchango wa jf wa thamani ya THS 20,000)
b/mshindi wa pili atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wa thamani ya Tsh 9,000/=
c/ mshindi wa tatu atajishindia muda wa maongezi wa mtandao atakao kuwa anatumia wa Tsh 6,000/=
d/ mshindi wa nne atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao anaotumia wa thamani ya Tsh 4,000/=
Masharti
- Washiriki wanaruhusiwa kujipigia kura na kufanya kampeni za kuomba kura
- One member one vote
- Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 dec saa 6 usiku kamili.
- Zawadi zitatolewa siku ya tarehe moja asubuh.
Wadhamini
- Ruhazwe JR
- Jiwe Linaloishi (kwaajili ya zawadi ya mshindi wa nne)
- Chimbuvu
- Slave
- Akijitokeza mdhamini mwingine basi zawadi itaongezeka!
Nawasilisha
UPDATE
Tumepata mdhamini mwingine anayejulikana Jiwe Linaloishi yeye anadhamini muda wa maongezi wenye thamani ya Tsh 3000 kwa mshindi atakaye shika nafasi ya nne.
Tunaomba wadhamini wengine wazidi kujitokeza ili washiriki wetu wapate zawadi iliyo nona
MORE UPDATE
Napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa,wamejitokeza wadhamini wengine wawili kama ifuatao;- 1. Chimbuvu (udhamini wa Tshs 5,000/=) na Slave (udhamini wa Tshs 2000/=).kwa sababu hiyo zawadi za washindi zimeongezeka.Tunazadi kuwaomba wadhamini wajitokeze zaidi.
PIGA KURA SASA!
Utaratibu ni mzuri, ila kwa nini hamjaweka option ya hakuna anayefaa kati ya hao? Kuna weengine hatuwajui wote. Mbona Mwali hauypo?
Please keep on voting for charminglady.
Tafadhali endelea kupiga kura kwa charminglady.
Por favor,tenga en votar a favor de charminglady.
请继续投票charminglady.
LENGO LETU NI charminglady afike zaidi ya 50%.Kwa msaada wa Mungu tutaweza na kwa kura yako tutafikia LENGO.
Pamoja Tunaweza!!
Asantee dadii im very happy ndo namka now dadiiusijali mpendwa, you're my daughter too...nawapenda!
Mercy daddy!!!!
Asantee dadii im very happy ndo namka now dadii
Hata mimi nakuunga mkono.
Tupewe vigezo vilivyotumika kupata nafasi za upendeleo. Kwanini wasiwe wake zangu BADILI TABIA, Yummy na Asali Kongosho?
Au ni kwanini wasiwe wake zangu watarajiwa mambo yakienda sawa marejesho na Binti.com
Au ni kwanini wasiwe dada zangu Preta na sweetlady na Nyamayao
Au kwanini siyo walimu wangu snowhite na gfsonwin
Au kwanini siyo wajukuu zangu afrodenzi na MwanajamiiOne
Au msiri wa hommie wangu Kaizer bi mwaJ
Naandaa maandamano asee!!
Hii si sawa yaani wewe wewe unaandandaa shindano na wewe wewe unakuwa kampeni manager
Wala dadii basi tu leo usingizi ulinijaa sana dad.hello! mmh mbona late hivyo au waumwa daughter!
Wala dadii basi tu leo usingizi ulinijaa sana dad.
Ooooh my God daaad u av reminded me of sm one by calling me dat naaaameglad to know you okay pumpkin....maana mtoto akiumwa daddy anakuwa na huzuni!
Ooooh my God daaad u av reminded me of sm one by calling me dat naaaame
Da im starving wana prepare some thing to feed my stomach
Hii si sawa yaani wewe wewe unaandandaa shindano na wewe wewe unakuwa kampeni manager
mbona mimi nashindwa kuvote?
yeaaah dad hapana chezeiyer cl my sis. Mekuwekea hata ivommh usiache nami kuniwekea daughter....kila mara hupenda jinsi mnavyopikwa daughters wangu...hapa bado nina taswira ya yale mapochopocho aliyopika juzi you other sis charminglady lol...
heheheeeeeiyaaaa........!!! kazi ndio imeanza,kampeni manager wa Arabela ndio naanza kazi
mkuu naomba uoneshe wapi nimepost hiyo comment,...acha mchezo mchafu, acha mbinu ya kuchukua post yangu kisha uka edit, si mchezo mzuri,...unanikwaza sana mkuu naomba utoe idhibitisho wapi nimepost kitukama hicho vinginevyo sitakuelewa hata kidogo
Bora wewe useme mkuu....
ulimaanisha nini acha jazba mkuu wapi na mimi nimeedit post yako unawezaweka ushaidi hapa maali nimeedit post yako basi mod nipige ban ya maisha
heheheeeeeiyaaaa........!!! kazi ndio imeanza,kampeni manager wa Arabela ndio naanza kazi
ni lazima kuwa na jazba mkuu kitalolo,hili siwezi kuliacha likapita hiv hivi,naomba link ili watu wanihukumu maana hii sio fair