Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
Siku yule mganga wako akifa!!! utapata taabu
Last edited by a moderator:
Aargh dogo, yaani kusoma huwezi hata picha!?? umemchagua yule penguine!??
ohoo, umdhaniaye siye kumbe ndo ccm, na mara zote aliyeshikwa na ngozi ndo anafanya kazi machinjioni
Nimejifunza. yaani kanisahau kabisa, mwili na moyo, duuu.
nilipotea kidogo,Hana maana chalii wa R chuga yule, ukiona hivyo keshazinguliwa na sketi tayari