Habari zenu binafsi......
Kwa heshima bila kuzima taa najitokeza mbele zenu kuomba kura....
Wapi familia yangu pendwa nikinzia kwa my lovely daddy
watu8 & mrs. wake
measkron? kura ziende kwa mwanenu mpendwa mumpendae kuliko wote
charminglady.....
Dada zangu wapendwa saaaaaana
sweetlady,
WiseLady mpo wapi sis?????? mjue mdogo wenu nawahitaji sana.......
Kaka yetu wa hiyari
Davie S.M uko wapi hebu ukuye pande hizi tafadhali.....
Cousin zetu
FirstLady1,,,
ladyfurahia songesheni vidole vyenu kunako poll jamani.....
Mashostitoo wa ukwenheeee!!!!!! watu weweeeee
Elizabeth Dominic,,,,
Evelyn Salt,,, beibe nasty cam zis wei puliz.....
Heheheeeiyaaaaa JF wa mwanza mjue leo ndo leo asemaye kesho muongo....... Lile chimbo ndo lafunguliwa rasmi.... nitawapeni ofa ya vinywaji ila kula kwenu plz!!!! Sogeeni kwenye poll jamani.... wapi
ThinkPad,,,
tameer Nicas Mtei kama bado upo piga kura yako afu badae untafute nkupeleke chimbo na wengineo.....
Erickb52 asante kwa kura yako....