Niaje wadau
Nimepata ushawishi wa kwenda kuangalia na kucheza huu wimbo remix ya tetema yes 🙂OH MAMA TETEMA by rayvanny,Nora fatehi and Shreya
Kutoka kwenye COMMENTS ZA watu mbalimbali pale mjini FESIBUKU
MY VIEW,,,,,,
HII NGOMA nimeona ni kali sana yani jamaa alitulia sana kipindi icho...