Wewe Asprin Una ujinga sana!Sasa si mngemnusisha mtoto ugoro mapema apige chafya muachane na ujinga wa hospitali?
Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete 🤣 uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hapo kutibiwa, wanatoka nchi za jirani na hata Marekani.
Hapo kwenye Marekani alisema kwa mshangao na msisitizo.
Haya hapa kwenye video maneno aliyoyasema. Anzia dakika ya 12:49 hadi 13:10.
Isije wakawa wamemlisha matango pori huyo mama!
Nani atoke Marekani aje Tanzania kutibiwa ugonjwa wa moyo?
Labda ni awe au wawe Wamarekani ambao tayari walikuwepo Tanzania [kwa sababu yoyote ile] halafu wakapatwa na matatizo ya moyo ndo wakapelekwa hapo kupata matibabu.
Ila mtu atoke Marekani na matatizo yake ya moyo aje Tanzania kwa ajili ya kupata matibabu hapo kwenye hiyo taasisi?
Ngumu kuamini….
Wale hawafi kienyeji kama hapa kwetu, ndo maana kiwango cha kawaida cha umri wa kuishi, Marekani ni miaka 96 kwetu miaka 52!Hakuna kisichoshindikana kwani hao watu wa marekani wana uspesho upi kutofautisha na binadamu wengine? Basi wangekua hawafi basi
Jamaa Una Piga kimomboo!Nilidhani atutapata raisi muongo kama Magufuli atleast he was generic on matters he couldn’t explain scientific to boost his success.
But jeez 😫 hearing this woman trying to explain causes of non communicable diseases in relation with cardiovascular diseases was too much; add that to her prevention strategy geez.
Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete 🤣 uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hapo kutibiwa, wanatoka nchi za jirani na hata Marekani.
Hapo kwenye Marekani alisema kwa mshangao na msisitizo.
Haya hapa kwenye video maneno aliyoyasema. Anzia dakika ya 12:49 hadi 13:10.
Isije wakawa wamemlisha matango pori huyo mama!
Nani atoke Marekani aje Tanzania kutibiwa ugonjwa wa moyo?
Labda ni awe au wawe Wamarekani ambao tayari walikuwepo Tanzania [kwa sababu yoyote ile] halafu wakapatwa na matatizo ya moyo ndo wakapelekwa hapo kupata matibabu.
Ila mtu atoke Marekani na matatizo yake ya moyo aje Tanzania kwa ajili ya kupata matibabu hapo kwenye hiyo taasisi?
Ngumu kuamini….
MATAGA wanapambana sana kumchafua huyu mama. Nyani Ngabu umesahau babako alisema anataka wazungu wavae mitumba kutoka TZ?😁😁Kubwa kuliko ni pamoja na Rais wa Kuwait ni Saddam, siku ina masaa 48 na Tunajenga kwa pesa zetu wenyewe
Marekani ya Kusini,wale wenzetu wale Njaa tupu.Hapo kwenye Marekani alisema kwa mshangao na msisitizo
We profesa LIPUMBA vuuuuu endelea kupiga sululu hapo machimboniReally? Aisee wewe nenda Mirembe hospital wakakusaidie. Una akili ya kifaranga cha kuku
Unawajua hao Wamarekani wanaofanya hivyo?Wapo wagonjwa wanaotoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania, ila haimaanishi magonjwa yao yalishindikana kwenye Hospital za Marekani na tena sio magonjwa ya moyo na kama ni ya moyo, wanakuja tz kujitibu kwa kutumia tiba mbadala ya mitishamba, sio kwenda kwenye taasisi ya moyo kakata kikwete
Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete 🤣 uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hapo kutibiwa, wanatoka nchi za jirani na hata Marekani.
Hapo kwenye Marekani alisema kwa mshangao na msisitizo.
Haya hapa kwenye video maneno aliyoyasema. Anzia dakika ya 12:49 hadi 13:10.
Isije wakawa wamemlisha matango pori huyo mama!
Nani atoke Marekani aje Tanzania kutibiwa ugonjwa wa moyo?
Labda ni awe au wawe Wamarekani ambao tayari walikuwepo Tanzania [kwa sababu yoyote ile] halafu wakapatwa na matatizo ya moyo ndo wakapelekwa hapo kupata matibabu.
Ila mtu atoke Marekani na matatizo yake ya moyo aje Tanzania kwa ajili ya kupata matibabu hapo kwenye hiyo taasisi?
Ngumu kuamini….
Sidhani kama wana umaskini kama huu wa kwetu.Marekani ya Kusini,wale wenzetu wale Njaa tupu.
Bolivia kuna njaa kuliko huku uswahiliniSidhani kama wana umaskini kama huu wa kwetu.
Weka vigezo vya kitakwimu tuone tuone na tuweze kulinganisha.Bolivia kuna njaa kuliko huku uswahilini
Gugo tu dollar a day countriesWeka vigezo vya kitakwimu tuone tuone na tuweze kulinganisha.
Umetoa madai bila kuweka ushahidi.Gugo tu dollar a day countries