Nani anatoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania?

Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete šŸ¤£ uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hapo kutibiwa, wanatoka nchi za jirani na hata Marekani.

Hapo kwenye Marekani alisema kwa mshangao na msisitizo.

Haya hapa kwenye video maneno aliyoyasema. Anzia dakika ya 12:49 hadi 13:10.

Isije wakawa wamemlisha matango pori huyo mama!

Nani atoke Marekani aje Tanzania kutibiwa ugonjwa wa moyo?

Labda ni awe au wawe Wamarekani ambao tayari walikuwepo Tanzania [kwa sababu yoyote ile] halafu wakapatwa na matatizo ya moyo ndo wakapelekwa hapo kupata matibabu.

Ila mtu atoke Marekani na matatizo yake ya moyo aje Tanzania kwa ajili ya kupata matibabu hapo kwenye hiyo taasisi?

Ngumu kuaminiā€¦.

Mkuu angalia huyu mmarekani amepata tiba Tanzania na hapa anatoa ushuhuda wake jinsi huduma zilivyokua bora,na nenda youtube uone wamarekani wenzie wanavyoongelea
 
Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hapo kutibiwa, wanatoka nchi za jirani na hata Marekani.

Hapo kwenye Marekani alisema kwa mshangao na msisitizo.

Haya hapa kwenye video maneno aliyoyasema. Anzia dakika ya 12:49 hadi 13:10.

Isije wakawa wamemlisha matango pori huyo mama!

Nani atoke Marekani aje Tanzania kutibiwa ugonjwa wa moyo?

Labda ni awe au wawe Wamarekani ambao tayari walikuwepo Tanzania [kwa sababu yoyote ile] halafu wakapatwa na matatizo ya moyo ndo wakapelekwa hapo kupata matibabu.

Ila mtu atoke Marekani na matatizo yake ya moyo aje Tanzania kwa ajili ya kupata matibabu hapo kwenye hiyo taasisi?

Ngumu kuaminiā€¦.
Wapo wagonjwa wanaotoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania, ila haimaanishi magonjwa yao yalishindikana kwenye Hospital za Marekani na tena sio magonjwa ya moyo na kama ni ya moyo, wanakuja tz kujitibu kwa kutumia tiba mbadala ya mitishamba, sio kwenda kwenye taasisi ya moyo kakata kikwete
 
Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete šŸ¤£ uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hapo kutibiwa, wanatoka nchi za jirani na hata Marekani.

Hapo kwenye Marekani alisema kwa mshangao na msisitizo.

Haya hapa kwenye video maneno aliyoyasema. Anzia dakika ya 12:49 hadi 13:10.

Isije wakawa wamemlisha matango pori huyo mama!

Nani atoke Marekani aje Tanzania kutibiwa ugonjwa wa moyo?

Labda ni awe au wawe Wamarekani ambao tayari walikuwepo Tanzania [kwa sababu yoyote ile] halafu wakapatwa na matatizo ya moyo ndo wakapelekwa hapo kupata matibabu.

Ila mtu atoke Marekani na matatizo yake ya moyo aje Tanzania kwa ajili ya kupata matibabu hapo kwenye hiyo taasisi?

Ngumu kuaminiā€¦.

Siasa hiyo ndugu, wana siasa wetu wana akili za kuku, kudanganya wananchi. Hayo magonjwa ni lifestyle ya mtu, yanazuilika kwa percentage kubwa. Hayo mamashine wanajiletea wao maana wanaogopa kufa wamenepa kwa kula nchi. Mioyo imejaa mafuta.
 
Tunaposema kuwa CCM wamechoka,wamekata tamaa na wamechanganyikiwa huwa hatutanii hata kidogo!Imagine Rais wa nchi anaongea pumba kama hiyo.
 
Inawezekana kweli, make nakumbuka utawala wa mwendakuzimu tz ilikuwa ina-export mitumba ya nguo marekani na ulaya.
 
Wapo wagonjwa wanaotoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania, ila haimaanishi magonjwa yao yalishindikana kwenye Hospital za Marekani na tena sio magonjwa ya moyo na kama ni ya moyo, wanakuja tz kujitibu kwa kutumia tiba mbadala ya mitishamba, sio kwenda kwenye taasisi ya moyo kakata kikwete
Taasisi ya Kikwete, why him? The most corrupt leader of all times, badilisheni jina jamani. Tuwaenzi madakitari wa zamani, siyo Kikwete please!
 
Ipo wazi.

Matibabu ya ugonjwa wa moyo hayaanzii kwenye kupata dawa au kufanyiwa operesheni.

Uchunguzi na vipimo hutangulia kabla ya vingine.

Kuna raia wengi wa Marekani hapa nchini na wengi huugua hata huo ugonjwa wa moyo unaotajwa.

Sasa huenda MNH kwa ajili ya kufanyiwa Uchunguzi. Kwenye register huandikishwa kwamba wametoka Marekani.

Na takwimu hizo ndiyo ndizo zimewasilishwa kwa Rais.

Lakini, mtu atoke Marekani kuja Tanzania baada ya kujigundua ana ugonjwa ili aje kupata matibabu!? Hapana!.

Huo ni Uzwazwa!.
Soma tena alichopost, ndio maana mnafeli mitihani
 
Tujikite kwenye mada,Swali:Je kuna wamarekani yaani raia wa marekani waliwahi kutibiwa hapo au hawajawahi?
 
Na kiumbe ambae anatoka marekani akaja tibiwa tanzania anakuwa ana matatizo ya akili. Tanzania hii ninayoijua unapeleka mgonjwa unaambiwa dr ambae atamshughulikia mgongwa wako hayupo tusubiri aje?

Bora enzi za JPM nidhamu ya kazi ilikuwepo ma dr muda wote wako kazini, hata mgonjwa akizidiwa dr anakuwepo sio zama hizi ma dr lazima wapigiwe simu.

Juzi mtoto wa wifi yangu alimeza mbegu ya tunda fulani (silijui kwa kiswahili) hilo tunda ni tamu kwa juu ukila utamu ukaisha ndani kunabaki kama ile mbegu ya mparachichi sasa hiyo ndo aliimeza kwa sababu lina ukubwa kama ya yai dogo hakuweza kuimeza ikabana juu kama puani hivi. Mtoto ana 1.3yrs

Mtoto kimbiza dispensary wakasema hawamuwezi, kimbiza hospital nyingine huko ndo walikutana na vituko. Huyo sijui ni ness sijui dr ni mmama wala hakumgusa mtoto. Anauliza kameza nini? Wakataja hilo tunda kwa kiluga chetu wala hakujali alibaki amekaa anauliza hilo ni tunda gani? hakuwaambia chochote.

Mtoto ashavimba pua uso damu zinatoka wakampeleka hospital nyingine ma dr chap wakaanza kazi baada ya muda akapiga chafya kikatoka.

Ati kwa upuuzi kama huu mtu anatoka marekani aje tibiwa tz? Kweli hii dunia ina mambo mengi.
Kuna tofauti kati ya mmarekani kutibiwa pale na mtu kusafiri kutoka marekani kuja kutibiwa kama tunavoenda India.
 
Kwani Wamarekani wanaishi ktk dunia ipi hadi wasiweze kutibiwa JKCI? Ni muhimu kufikirisha akili kabla ya kuweka mada za ovyo tena za kutaka kudhalilisha mamlaka.

Kwa mfano, tuna Wamarekani wako ubalozini kwao hapa unadhani ni wasambaa kisa wako Tanzania? Watalii na wasafiri wengine raia wa Marekani. Kama kapata matibabu JKCI badala ya kwenda kwao hiyo si sifa kwa nchi yetu. Tuache ujima kuidharau nchi yetu.
 
Nilidhani atutapata raisi muongo kama Magufuli atleast he was generic on matters he couldnā€™t explain scientific to boost his success.

But jeez šŸ˜« hearing this woman trying to explain causes of non communicable diseases in relation with cardiovascular diseases was too much; add that to her prevention strategy geez.
 
Back
Top Bottom