Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

Hata ikiwa labda kuna ukweli juu ya alichokisema,bado halikuwa jambo la hekima kuliongea hadharani kwa mtu wa nafasi yake,maana inawapa nafasi nzuri ya kuitumia kipropaganda wale jamaa wa MKIRU.
Kuna mambo yanapaswa kuendeshwa kwa hekima sana kulingana na uwezo wa kifikra wa watu wengi ulivyo chini kwenye jamii zetu hizi za kiafrika.
Kama mshauri mwenyewe ni Mwigulu tutapelekwa kusiko. Aliwahi kuwatungia CDM kesi ya ugaidi. Nadhani mnakumbuka ilivyokwisha kwa kukosa ushahidi hapa duniani pamoja na kuahidi kuutoa hata mbinguni.
 
Kitu ambacho Huwa sikubaliani na raisi wangu kipenzi Ni kujibu Kila kitu anachosikia anapaswa ajue vitu vingine hushughulikiwa kimya kimya
Na hili linafanya rais atofautiane sana na watendaji wake katika matamko, mfano Ni juzi tu pm majaliwa amesema waislamu hawausiki na mauaji ya kibiti wiki haijaisha rais anatwambia uamsho na kibiti ni kitu kimoja hatuelewi kwa kweli
Na maana nyingine ni kwamba watu wanaochukua hatua kwa hizo kauli za wanasiasa wanaamrishwa na Rais
 
Point of correction

Nimemsikiliza Rais kwa makini sana alichokisema ni kwamba wanasiasa hao wanashindwa kutoa matamko juu ya mauaji yanayoendelea Kibiti badala yake wanaongea vitu ambavyo wanajua kabisa madhara yake kwa ajili ya kutafuta kiki za kisiasa,akasema je wakiambiwa ndio wanaohusika na issue ya Kibiti watabisha????

Jamani muwe mnasikiliza na kuelewa sio kudakia mambo juu juu na kuja kuchochea hapa.

Ni kweli hatujawahi kuwasikia upinzani wakikemea au kusema chochote juu ya Kibiti na hii inadhihirisha wazi kuwa hili jambo linawafurahisha.

Ukweli lazima usemwe,mambo ya kuoneana aibu ndio yamelifikisha hili Taifa hapa.
Mh. Mkuu kwa vichwa vya watanzania waliowasomi wengi amini usiamini

Kuna watu wanaliombea taifa hili liingie matatani ili vyama vyao vipate cha kuongea

Majuzi kwenye inshu ya spika wa bunge, kuna watu waliwaelekeza vijana na kusema vijana wa kibiti wahamie dodoma. Hii inamanisha kuwa kati yetu tunaliombea taifa hili mabaya kwa sababu ya raisi ambaye atatoka muda si mlefu.

Chunguza komenti zinazotolewa wasomi humu ndani pale tukio linapotokea kibiti, utawasikia kwa mbali wakisema " ndio vikome" lakini wakiisha hawa tutabadilishana.

Tujifunzeni maisha ya nchi za jirani zinavoteswa na huu upuuzi.

Uchadema na uccm utalifikisha pabaya taifa hili
 
ni uwongo UAMSHO hawapo gerezani kwa amri ya mahakama wapo gerezani kwa amri ya CCM kama unao ushahidi tuletee. engekuwa ni amri ya mahakama basi wengeshitakiwa Zanzibar sio Tanganyika kwani kosa limefanywa zanzibar.
Kwa hiyo unashauri kwa amri ya chadema waachiliwe??
 
Sasa watoe matamko gani. Mbona matamko yanatolewa hayafanyiwi kazi. Mauwaji hayajaanza leo. Leo ndyo wanajifanya wanamachungu na mauwaji sababu wanauliwa wao. Hapa juzi kipind wanatekwa na kuuwawa wapinzani mbona walikuwa hawajali.
Kwa hiyo ni kisasi kinalipwa??
Hapa naanza kupata picha kuwa tayari vita ndani ya taifa changa kiuchumi imeanza. Na tena ni vita ambayo ni ya sisi kwa sisi

Mwisho wa siku wazee, wanawake na watoto ndio watakao athirika
 
Wachangia mada wengi humu wameshindwa kumuelewa mh. Rais kutokana na upeo wao mdogo au wapo kwa lengo la kumchafua rais.
Sijaona sehemu yoyote aliyohusisha viongozi wa uhamsho waliofungwa na wauaji wa kibiti..ukisikiliza kwa makini anayosema mh. Rais na ukaelewa maana yake hautokaa na kupiga porojo humu zisizo na msingi kwa lengo la kumchafua. Rais hakuna alipokosea, tutumie bongo zetu kutafsiri kwa umakini.
Wewe ndiye unatakiwa umusikilize upya, alisema kuna watu wanawatetea mashehe hawajui ndio wanaoua polisi wetu kule Kibiti, kama hata hili hukulisikia basi wewe ni shida.
 
Waswahili..hupenda kusema..Think twice before you do...haya mambo yatatupeleka pabaya...My take...KIBITI INAHITAJI ANTHROPOLOGICAL STUDY..Than to use more power...tujadili na watu Chini kwa chini...jawabu lipo
 
Tatizo nyie wote mnao comment ni UKAWA.
Hili swala likipelekwa ki UKAWA na KICCM

Mbeleni tutakimbiana, watu hawa wanaoongoza mauaji haya wanapata nguvu kwa kuwa kuna watu wanawaunga mkono.

Mtu kama EL kiukweli ni utata na hivi karibuni sale za jeshi mia tano inaashiria kuna kitu kiko nyuma ya hili.

Amini usiamini mwisho wa hili swala lisipoangaliwa kwa kina tanzania hii haitakalika waheshimiwa
 
Kwani polisi waliokufa ni CCM? Kibiti wamekufa vyama vyote japo CCM ni wengi hata Nchi nzima CCM ni wengi likitokea tatizo lolote CCM ni wengi.

minyoo;
Mbona unachafua hali ya hewa?? Wewe ndio ulitakiwa umueleweshe JPM kuwa, Kibiti wamekufa watu wa kila chama. Kama ulipata nafasi ya kumsikiliza rais katika hotuba yake alisema; namnukuu; Na wanakufa watu wa chama flani tuu. Mwisho wa kumnukuu.
Ndo maana watu wakamshangaa kuwa, kumbe basi hata wale polisi waliokufa ni CCM? Mbona unatema povu ka la omo? Tatizo lenu ndio hilo. Hata kwenye mijadala huwa hamsikilizi bali mko usingizini mnarukia tu kupiga kura za Ndiyoooooo na kugonga meza.
 
Naamini raisi na serikali yake wana taarifa zote za kiuchunguzi wa kutosha sasa nyie mnaoropoka humu mnataarifa zipi hata muweze kuwa na ujasiri ya kumkosoa raisi? Napendekeza muisaidie polisi ktk hili

Kama anazo taarifa sahihi mbona mauaji hayakomi ?
 
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
MAdhara ya kuongoza nchi peke yake!!
 
Mungu mtu/mfalme/dikteta/ na mshabiki wa kila neno linaloongelewa mtaan sishangai cku nikimuona shilawadu anachana
 
Alafu anamkebehi mwenzie eti anatembea huku anarudi nyuma...hajui kwamba hujafa hujaumbika ehh..ngoja tusubiri tuone viboko vya mwenyez Mungu uzuri Mungu analipaga hapahapa duniani
 
Wachangia mada wengi humu wameshindwa kumuelewa mh. Rais kutokana na upeo wao mdogo au wapo kwa lengo la kumchafua rais.
Sijaona sehemu yoyote aliyohusisha viongozi wa uhamsho waliofungwa na wauaji wa kibiti..ukisikiliza kwa makini anayosema mh. Rais na ukaelewa maana yake hautokaa na kupiga porojo humu zisizo na msingi kwa lengo la kumchafua. Rais hakuna alipokosea, tutumie bongo zetu kutafsiri kwa umakini.

Usiishie kujifunza kusoma tu ,jifunze kuelewa unacho kisoma..
 
Huwa najiuliza kwann mzee lowasa asistaaafu siasa kulinda heshima yake,, kama ni ndoto ya URAIS ishaota mbawa kinachofuata nikupoteza yale mazuri aliyoyatendea nchi hii, Nakuomba mh lowasa mzee wetu usipambane na serikali inayokufaham ndan na nje utaumia. Umeshindwa nn kuzungumzia mauwaji ya kibit yanayoendelea kwa kulenga chama kimoja tuuu??? Usipende serikali ikufikilie vinginevyo.
 
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Kama wewe unapinga kauli ya Rais maana yake unaunga mkono kauli ya yule aliyesema wengine wanekaa tokapu mda mrefu sana. Kama hili ni kweli jiulize kwanini huyo mtu halaani tabia ya mauaji yanayofanyika Kibiti? Kwanini kauli ya walioko rokapu tu ndiyo ionekane kukuuma sana wewe. Na je Mh. Rais alitamka Lowasa ? Mbona kwenye hotuba yote hakuna neno Lowasa? Kwanini unamlisha maneno Rais? Au wewe unahusika?
 
Wa ubavu wake bashite ndo mshauri mamba moja NATANIAAA
 
Back
Top Bottom