Who cares akiwekwa lockup, do you?Atawekwa lock up kwa uchochezi wake kama raia wa kawaida lazima achukuliwe hatua.
Viwanda na maendeleo ya nchi yanaendelea kufanywa kama kawaida ila na waharifu lazima washughulikiwe na atashughulikiwa full stop.
Magufuli hajawa rais wa kwanza wala hatakuwa rais wa mwisho Tanzania,
Tunachohitaji ni yeye kutimiza ahadi zake muda ukifika ataondoka tu atakuja mwingine na maisha yataendelea bila Magufuli.
Kinachotakiwa atende haki aende zake.