minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,505
- 22,516
Kwani polisi waliokufa ni CCM? Kibiti wamekufa vyama vyote japo CCM ni wengi hata Nchi nzima CCM ni wengi likitokea tatizo lolote CCM ni wengi.Mkuu;
Wewe ndo umesema wala sio mimi. Nilikuwa najiuliza tu kuwa hii kitu imekaaje? Kwa nini aseme ati ni wanachama wa chama flan kimoja tu wanauliwa?