Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

Nimesikitika zaidi pale alipo husisha serikali ya marekani na Guantanamo bay kuwa hata marekani wanafanya hivyo,kuilinganisha marekani inayotumia mamilioni ya dollar kupambana na ugaidi na kuweka wale masheikh kizuizini ni makosa sana.
Rais aliyemaliza muda obama mwenyewe alitaka ku-shut down Guantanamo bay kutokana na kukiuka haki za binadamu.
Ushamba ni mzigo mzito sana,tupo kwenye kipindi cha mpito tutapata rais wetu 2025
 
Ndo kusema keshatoa hukumu sio, sio nchi tu ni dunia nzima, wapelekwe tu gerezan mojakwa moja,
Hivi ni mfalme nani yule alikuwa yeye ndo kila kitu kwenye himaya yake walimwita juha sijui[emoji102] [emoji102]
 
Hapo hata mimi Rais wangu mpendwa sijamuelewa.
Kuhusisha wale jamaa wa Zanzibar na kinachoendelea Kibiti ni makosa makubwa au hakupaswa kuyasema hadharani.

Hii maana yake Rais anatangaza kua kinachofanyika Kibiti ni ugaidi, maana yake ni kua sasa magaidi wote wataanza kumiminika Kibiti maana serikali ishasema kuna ugaidi.

Haikua sawa kabisa kusema yale hadharani kwa mtazamo wangu.
Mashekhe ni viongozi wa dini,vipi awanasibishe na ugaidi? Atufafanulie!!!?...
 
Mwenye uelewa na falsafa iliyotumika ktk uzi huu kuwekwa picha ya magu na lowassa wakiwa ktk vazi la makanzu na barakashia naomba anadadavulie tafadhari.
 
Point of correction

Nimemsikiliza Rais kwa makini sana alichokisema ni kwamba wanasiasa hao wanashindwa kutoa matamko juu ya mauaji yanayoendelea Kibiti badala yake wanaongea vitu ambavyo wanajua kabisa madhara yake kwa ajili ya kutafuta kiki za kisiasa,akasema je wakiambiwa ndio wanaohusika na issue ya Kibiti watabisha????

Jamani muwe mnasikiliza na kuelewa sio kudakia mambo juu juu na kuja kuchochea hapa.

Ni kweli hatujawahi kuwasikia upinzani wakikemea au kusema chochote juu ya Kibiti na hii inadhihirisha wazi kuwa hili jambo linawafurahisha.

Ukweli lazima usemwe,mambo ya kuoneana aibu ndio yamelifikisha hili Taifa hapa.
Yaani wewe ndo una matatizo ya kusikia,
 
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama Lowassa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwanini Rais awahusishe na mauaji yanayotokea Kibiti.

Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Ameshauriwa na nani wakati mnadai hashauriki?
 
ni uwongo UAMSHO hawapo gerezani kwa amri ya mahakama wapo gerezani kwa amri ya CCM kama unao ushahidi tuletee. engekuwa ni amri ya mahakama basi wengeshitakiwa Zanzibar sio Tanganyika kwani kosa limefanywa zanzibar.
Acha uchochezi
 
Rais ana vyanzo vingi vya habari! Inawezekana katika harakati za ku-track taarifa za Kibiti, zimewiana na uwepo wa mashehe. Lakini si inajulikana ugaidi unaletwa na akina nani hapa duniani? Mbona watu wanajitoa ufahamu juu ya jambl hili?

Naweza kusema ni kweli rais amewahi kutoa tamko la kuwahusianisha mashekhe na tukio la kibiti sababu uchunguzi bado unaendelea. Angejipa muda angalau watu wenye kazi zao wafanye kwanza ndipo atoe hitimisho
 
Alafu anamkebehi mwenzie eti anatembea huku anarudi nyuma...hajui kwamba hujafa hujaumbika ehh..ngoja tusubiri tuone viboko vya mwenyez Mungu uzuri Mungu analipaga hapahapa duniani
Huyu rais ana dharau sana
Anataka tuwe wamoja huku akitaka wapinzani wanyooshwe
Huo umoja unapatiksnaje hapo?
 
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama Lowassa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwanini Rais awahusishe na mauaji yanayotokea Kibiti.

Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Tatizo ni IQ za watanzania. Ila Kuna siku mtamuelewa Rais Dr John Magufuli.

Issue ya Mashehe wa Zanzibar ni very complex na issue ya Kibiti ni very complicated.
 
Wewe ndo una safari ndefu ya kuendekeza udini hadi sasa, waliwekwa ndani na kikwetu kwa mambo ya kichochezi, leo unamtolea povu magufuli, hlf wewe na mimi hatuna intelijensia yyte zaidi ya rais anayejua kinachoendelea, bora tupige kimya.
Mimi sio mdini na siendekezi udini ila nalaan kauli iliyotolewa na mkuu wa nchi hakustahili kuongea yale aliyoyaongea nilitarajia labda IGP ndio aongee vile na sio yeye sikulazimishi kukubali
 
Magu anaropokwa sana maneno ni asili yake kuropoka ropoka
 
Hapo hata mimi Rais wangu mpendwa sijamuelewa.
Kuhusisha wale jamaa wa Zanzibar na kinachoendelea Kibiti ni makosa makubwa au hakupaswa kuyasema hadharani.

Hii maana yake Rais anatangaza kua kinachofanyika Kibiti ni ugaidi, maana yake ni kua sasa magaidi wote wataanza kumiminika Kibiti maana serikali ishasema kuna ugaidi.

Haikua sawa kabisa kusema yale hadharani kwa mtazamo wangu.
Hana busara hivyo anajiona yuko sawa anaropoka tu
 
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama Lowassa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwanini Rais awahusishe na mauaji yanayotokea Kibiti.

Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Jaribu kuw imaginative body ,katika kauri ya Raid amesema baadhi ya watu wanaoshikiriwa wana tuhuma za mauaji. Take baadhi yawezekana si mashehe na hatuna gereza LA mashehe pekee yao kuna aina za uahilfu mbalimbali uliowatia hatia. So watu wasiongelee issue za kimahakama ambazo kesi zao bado ziko kwenye upelelezi.kuweni weledi na siyo kuemka kisa mme wenu katajwa wakati kasema kauli za wanasiasa in general . hiyo ndoa yenu na Lowasa mpaka mbebe mimba ndo mpate akili
 
Uwe unawaza nje ya box itakusaidia kuelewa kwa rais ni binadamu anaweza kukosea na yeye kama kiongozi anatakiwa kuonyesha kuwa ni kiongozi mwenye busara na busara huonekana zaidi unapokuwa umechukizwa

Amekosea sana afaham kuwa nchi hii si familia yake
Rais ana taarifa au tuseme yuko well informed kuliko mtu yoyote nchi hii. Anaposema kitu hasemi kisiasa anamaanisha. Jifunzeni kuheshimu anachowaambia maana anaelewa zaidi yenu. Hii issue ya uuwaji si ya ujambazi bali ni uhuni na mbinu za kisiasa uchwala zinazofanywa na viongozi wenu wa kisiasa mnaowaamini kwa lengo la ku destabilise serikali. Acheni mambo yenu ya kujifanya hamuelewi. Nani hajui uamusho ilikuwa ya nani?
 
Kitu ambacho Huwa sikubaliani na raisi wangu kipenzi Ni kujibu Kila kitu anachosikia anapaswa ajue vitu vingine hushughulikiwa kimya kimya
Na hili linafanya rais atofautiane sana na watendaji wake katika matamko, mfano Ni juzi tu pm majaliwa amesema waislamu hawausiki na mauaji ya kibiti wiki haijaisha rais anatwambia uamsho na kibiti ni kitu kimoja hatuelewi kwa kweli
Uislamu na UAMSHO hauna mahusiano. Yes the PM was right na Magufuli yuko right pia.
 
Back
Top Bottom