McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Kulikuwa na haja ya kunishambulia mimi binafsi kwa mtazamo wangu? Mbona sijasema wote mnaomsapot mamvi akili zenu mbovu? Sababu I am smart how to deal with people. Tuongelee hao watu wawili (Mamvi na Magu). Habari ya mimi au wewe upoje ni mjinga tu au mtu asiyeelewa anaweza akafanya ni ishu. Ni mtazamo wangu una mtazamo wako. Jifunze jinsi ya kujadiliana ni skill nzuri hata kwenye maisha yako binafsi
Uliposhambuliwa wapi?comment yangu imemzungumzia Sizonje na EL kila mmoja na nafasi yake,akiongea Sizonje imeongea taasisi sio mtu binafsi ni tafsiri pana na watu wengi wapo nyuma ya kauli zake ila EL akiongea mapokeo ni kua ameongea EL kwa sasa ni mara chache atazungumza kwa niaba ya chama ambayo bado haina mashiko maana neno lake linaweza kupita bila kufanyiwa kazi,narudia tena kama alichoongea Sizonje kinaonekana cha kawaida basi taasisi ambayo ina heshima kubwa mnaichukulia poa tofauti na ukubwa wake halisi ulivyo.
Usisahau kunikumbusha wapi nimekushambulia wewe binafsi.