Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

tulipomshauri asimjibu ndo akamjibu hapangiwagi huyu jamaa
Mkuu huo uongo wako wakijinga. Wafuasi wa Lowassa wapo wengi sana kupita idadi ya wana CCM wote.

Huyo rais wako mropokaji anazidi kujidhalilisha kwa waliothubutu kumpigia kura.

Ni kweli hapangiwi na mtu na hata wangetaka kumshauri wangeishia kutukanwa. Nini unategemea kwa mtu hamnazo zaidi ya utata wa kauli na matendo yake.

Ila nikupongeze kwa maoni yako hata kama ni ya kijinga.
 
Lowassa angekuwa kipindi cha nyerere angekuwa ndani saa hizi, kuna statement kwa level ya lowasa hakutakiwa kuongea yale

wanaokufa ni ccm tu??

lowassa hana sapoti yeyote, unless unasema hao wauaji ndio wako nyuma ya lowassa??!!!

nyuma ya lowassa?? unamtisha nani??
 
Chuki zikizidi, busara hutoweka
 
Magufuli mihemko inamsumbua nahis anapenda kujibu kila kitu hata jambo Ni kujibu tu...Lowasaa kauli yake sidhani Kama ilikua ya mjadala mpana kiasi hiki..Kusema Marekani ilikua Na magaid kule Gwatano ...Sasa anataka Na sisi tuige Marekani kuhusu Gwatano Na kufungia magaidi....
 
Get Real bro!

Lowassa is not a threat in this country. Yes. He once was. But not now or in the future. Him or his supporters, the earlier they realize that the better.

I am sure JPM hakupenda kauli yake ya juzi kuhusu Uamsho. Hata kama naheshimu haki ya EL kutoa mawazo. wale jamaa wa Uamasho wako gerezani kwa order ya Mahakama. Awaachie Mahakama waamue. Kauli kwamba yeye angewaachia mara moja kama angeingia madarakani..maana yake ni kwamba Mahakama haijui kazi yake-au angeitumia Mahakama kufanya analolitaka. It is a long debate on the independence of our judiciary and thats not my concern here.

Lakini I guess hata EL angetakiwa kuwa careful na kauli yake especially kwa kesi iliyoko Mahakamani.

Mzee EL akapumzike Ngarashi anywe maziwa na whisky. Huku akisoma magazeti ya Economist na kuangalia News CNN.

The man is past his sell by dates on the shelf! Amekula vya kutosha! Awe na shukrani kwa waTanzania.

Masanja.
WELL SAID...HIVI HUYU MAMVI ANGENYAMAZA JE??? RAIS WA NCHI KWA SWALA HILI HASA TUHUMA HIZO HAWEZI KUKAA KIMYA
 
Hivi kwa nini kila anachofanya rais watu mnakimbilia kuwalaumu washauri? Una maana rais yeye ni mtu ambaye hana utashi wake na kila anachoshauriwa anakimeza tu bila kuongeza na za kwake? Ukweli ni kwamba washauri wanamsaidia tu kuboresha maamuzi au hotuba yake lakini kila anachofanya ni uamuzi wake binafsi na sifa au lawama ni za kwake.
Ukishakuwa kiongozi wa rank hiyo unanyimwa utashi wa kuropoka kwa manufaa mazuri ya nchi. Ila tumesimama sure 5000 za makanikia
 
Nimemsikiliza kipanya muda sio mrefu kasema kuna clip alikua anaitazama jana ambayo inaonesha mahojiano baina ya mwandish wa habari na mjane ambaye mume wake ameuawa. Mwanamke anasema kwamba waliingia watu wawili na kumkamata mume wake kisha wakamuambia "ukijibu swali tutakalo kuuliza kamwe hatutakudhuru" mumewe akawa anapga kelele wakati hajapigwa pia hakuwapa nafasi ya kuuliza swal. Mkewe alipata upenyo na kukimbia nje, amefka kwa majiran akasikia mlio wa risasi.walipomuua wakamchukua mtoto aliyekua ndani amelala na wakamtoa nje kisha wakachoma nyumba. Je hawa ni magaidi? Au kuna jambo nyuma ya pazia? Nataman nimgepata kujua swal walilotaka kumuuliza hakika lingeleta tafsir kubwa kwetu. Mkuu wa nch kakosea sana kuwahusisha hao mashe na haya matukio

Usiweke guarantee kupata jibu la nia ovu ya wauaji kwa statement moja tu...kuna a lot of dots za kuunga ili mtu mwenye akili apate idea kamili..Mh mrema alisema vizuri Strengtherning intelligence zaidi.
Swali zito ni hizo silaha wanazitoa wapi??
 
Kati ya Rais na wewe na Lowassa wako ni nani mwenye vyombo vyenye wajibu wa kutoa taarifa za uvunjifu wa amani na wahusika nchini??

Kwani hao unaodai mashekhe wenu walikamatwa pending matukio gani??. Acha wenye mamlaka wasemee nchi na wakati Lowassa nae akishinda uchaguzi atakupa jukumu la kumtolea matamko kama ulivofanya hapa.
 
Rais anapewa taarifa nyingi za usalama ambazo watu wengine hawapati fursa ya kuzipata. Hatuwezi kumbishia akisema kuna link kati ya uamsho na kibiti. Mambo ya usalama sio ya kubishania, ndo maana ni mtu mmoja tu ana mamlaka ya Amiri Jeshi Mkuu. Haya mamlaka hayakasimiwi kwa mtu yeyote,hata makamu wa rais.

Tumuunge mkono ktk suala hili, hata kama tunatofautiana nae kwenye mengine. Tukiweka unafiki na akili ya Mbuni pembeni, suala la Kibiti limevuka kiwango cha kushughulikiwa taratibu. Sasa lishughulikiwe kwa uwazi. Kuna watu wamekamatwa wako magerezani kwa tuhuma za ugaidi. Ajabu kuna watu wanatishia vyombo vya dola kuwa muda wowote watavamia na kuwatoa hao walio magerezani. Kwahiyo utaona kufikia hapo, rais ana haki ya kuwa irrational.
 
Lowassa angekuwa kipindi cha nyerere angekuwa ndani saa hizi, kuna statement kwa level ya lowasa hakutakiwa kuongea yale

wanaokufa ni ccm tu??

lowassa hana sapoti yeyote, unless unasema hao wauaji ndio wako nyuma ya lowassa??!!!

nyuma ya lowassa?? unamtisha nani??
Angekuwepo nyerere Magu angeponaje ponaje???
 
The truth be told; tangu matukio ya mauaji yaanze, binafsi niliamini inaweza kuwa na uhusiano na mashehe wa Uamsho ingawa mtazamo wangu ni tofauti na huu wa Rais. Kwa kuzingatia hali ya dunia ya leo ambapo misimamo mikali ya kidini imeshika kasi, bila shaka wapo waumini waliojeruhiwa na kitendo cha mashehe kukamatwa na kushikiliwa kwa muda mrefu. Matukio kama haya yanayohusu watu wa imani moja huwa ni fursa kwa ugaidi wa kimataifa unatumia itikadi za kidini kupata uchochoro wa kupitia hasa ikizingatiwa kuwa miaka ya karibuni imeshuhudia kelele za 'mfumo kristu' zimekuwa zikiongezeka.Tanzania haina tofauti na nchi nyingine zote zinazosumbuliwa na vikundi vyenye itikadi za kidini. Hivyo baada ya kutazama aina ya watu wanaolengwa na hao wauaji mimi nilifikia hitimisho kuwa pengine hawa wauaji ni watu wenye itikadi ya kidini na ambao wameumizwa na sakata la mashehe na kuamua kuonyesha hisia zao kwa njia hii. Lakini siamini wametumwa na mashehe wa Uamsho; kawaida watu wa aina hii hutumwa na ugaidi wa kimataifa.
 
MCHAWI MPE MTOTO AKULELEE.
UKITOA TAARIFA POLISI AU UKISHATANGAZA KUWA FULANI ANAPANGA KUKUUA NA UKAONYESHA USHAHIDI HATA KAMA NI WA KIMAZINGIRA BASI HUYO FULANI BAADA YA HAPO ATAACHA MIPANGO YAKE YA KUKUUA NA NDIYE ATAKUWA MLINZI WAKO.
UKICHOSHWA NA TABIA ZA MTU MZOMEE HADHARANI.
SHERIA HAIRUHUSU MTU KUWATETEA WATUHUMIWA WA UGAIDI WAKATI KESI YAO BADO INAENDELEA.
KUNA VIONGOZI AMBAO LEO WAKIPEWA HATA UWAZIRI MKUU TU MAFISADI WOTE WATATOLEWA MAGEREZANI.
RAIS MAKUFULI ANAUELEWA MKUBWA WA MAMBO YA INCHI KULIKO SISI.
TANZANIA YETU ITAKUWA NZURI SANA KIUCHUMI NA KIUSALAMA JINSI MUDA UNAVYOENDA.
Umenisikitisha sana na chuki zako za kidini
 
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Hekima =0, Busara=0, Kiingereza =0, Urais=0. Utawala wa sheria=0, Moral intelligence=0
 
Hivi kwa nini kila anachofanya rais watu mnakimbilia kuwalaumu washauri? Una maana rais yeye ni mtu ambaye hana utashi wake na kila anachoshauriwa anakimeza tu bila kuongeza na za kwake? Ukweli ni kwamba washauri wanamsaidia tu kuboresha maamuzi au hotuba yake lakini kila anachofanya ni uamuzi wake binafsi na sifa au lawama ni za kwake.
Rais ni taasisi,yeye ni JPM
 
Mzee lowassa namkubali kwa mambo mbalimbali ana busara lakini alikosea kuongea habari ya uamsho katika kipindi ambacho tayari kampeni zimeisha maana tungejua labda alitafuta kura za kundi fulani,kama alikuwa makini kutatua suala la hao jamaa angeomba apointment mambo yakajadiliwa private , Kuna mambo mengine Ni sensitive. Wakati mungine demokrasia ikivuka mipaka Ni matatizo.Angalia France,UK,Germany,Belgium,Sweden,USA wanavyosumbuka sasahivi halafu linganisha na Russia na China utapata majibu.
Tuishi kama utamaduni wetu WA zamani tusiige wazungu.
wazungu wali import demokrasia Libya,Egypt na Syria angalia kilichotokea.
Angalau Egypt waligundua mapema wakarudia mfumo wao WA zamani la sivyo ingesambaratika
 
Back
Top Bottom