tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
OK fineTatizo ni IQ ya huyo mropokaji, siyo ya watanzania!
OK fineTatizo ni IQ ya huyo mropokaji, siyo ya watanzania!
Hana muda wa akiba ya maneno yeye anasema "kweli" iko siku ukweli utajulikana walioumizwa itakuwaje?Yani Rais wa nchi kalitangazia taifa kuwa mauaji ya Kibiti yanafanywa na masheikh wa uamsho.
Namsihi Pombe ajifunze kuweka akiba ya maneno.
ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya. (divide and rule systems)Yaaan ki ukwel waislam tunatengenezewa scandal ili mradi tu wajilidhishe nafsi zao me ckubaliani na kusema kua mauaji ya kibiti yanahusika na uislam
Mind you.. You're speaking to the boots on the ground.Labda kama umeamua kufanya fujo jukwaani. Huo ni uongo mkubwa sana. Wanaouawa Kibiti ni viongozi wa serikali za mitaa na Polisi/mgambo. Wengi wao ni waislamu. Na madai yaliyosikika hadi sasa ni unyanyasaji wa "wanyonge" huko vijijini.
Hata kusikika kwa viongozi wa CCM miongoni ya waliouawa ni kwa vile nao ni sehemu ya dola. Nchi hii huwezi tenganisha dola na CCM kwa jinsi mienendo ya makada ilivyo. Shughuli za serikali zinafunikwa na kivuli cha chama.

Lowassa angekuwa kipindi cha nyerere angekuwa ndani saa hizi, kuna statement kwa level ya lowasa hakutakiwa kuongea yale
wanaokufa ni ccm tu??
lowassa hana sapoti yeyote, unless unasema hao wauaji ndio wako nyuma ya lowassa??!!!
nyuma ya lowassa?? unamtisha nani??
Hapana Inna sijawahi kupata hiyo fursa ya kuwa mshauri wa Mheshimiwa Rais. Ila nadhani watu wengi hawaelewi majukumu ya washauri. Mshauriwa ana uhuru wa kukubali au kukataa ushauri anaopewa na anapofanya maamuzi ya ama kukubali au kukataa anawajibika yeye na matokeo ya uamuzi wake. Huwezi tena kumlaumu mshauri kwa maamuzi anayochukua mshauriwa. Huo ndiyo ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.We lazima utakua mshaur wake
Ndio uwezo wa kufikiri wa waafrika ulipo fikia badala ya kuiga wamarekani wanavyorusha maroketi kwenda Mars na anga za mbali tunawaiga jinsi wanavyofungia watuhumiwa wa ugaidi Guantanamo Bay.Magufuli mihemko inamsumbua nahis anapenda kujibu kila kitu hata jambo Ni kujibu tu...Lowasaa kauli yake sidhani Kama ilikua ya mjadala mpana kiasi hiki..Kusema Marekani ilikua Na magaid kule Gwatano ...Sasa anataka Na sisi tuige Marekani kuhusu Gwatano Na kufungia magaidi....
Unajina zuri sana ila hujui lolote lile pole sana mkuuLazima waambiwe ukweli! Huu ukweli kila mmoja anaujua japo wengine wanajifanya kama vile hawaujui! Nampongeza kwa kutokuogopa kuusema ukweli!
Mashehe ni dini gani? Hiyo ndo tafsiri ya Rais wako mpendwa. Yaani kwake mwizi akiwa mhaya basi wahaya wote ni wezi.Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama Lowassa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwanini Rais awahusishe na mauaji yanayotokea Kibiti.
Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua
Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua
Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine
Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti
Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye
Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko
Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Amekiri kuwa wamewaweka ndani kinyume cha haki za binadamu kwa vile Marekani nao wana watuhumiwa wa ugaidi Guantanamo Bay! Kwa lugha nyepesi wamekopi na kupesti.Nimesikitika zaidi pale alipo husisha serikali ya marekani na Guantanamo bay kuwa hata marekani wanafanya hivyo,kuilinganisha marekani inayotumia mamilioni ya dollar kupambana na ugaidi na kuweka wale masheikh kizuizini ni makosa sana.
Rais aliyemaliza muda obama mwenyewe alitaka ku-shut down Guantanamo bay kutokana na kukiuka haki za binadamu.
Kwa maana hiyo muheshmiwa anapambana na uislamMashehe ni dini gani? Hiyo ndo tafsiri ya Rais wako mpendwa. Yaani kwake mwizi akiwa mhaya basi wahaya wote ni wezi.
Kwa maana hiyo muheshmiwa anapambana na uislamMashehe ni dini gani? Hiyo ndo tafsiri ya Rais wako mpendwa. Yaani kwake mwizi akiwa mhaya basi wahaya wote ni wezi.
Kwa kipengele hiki namuona nyoka wa Makengeza Andrew Chenge akishinda kesi kiulaini kabisa.Hapana Inna sijawahi kupata hiyo fursa ya kuwa mshauri wa Mheshimiwa Rais. Ila nadhani watu wengi hawaelewi majukumu ya washauri. Mshauriwa ana uhuru wa kukubali au kukataa ushauri anaopewa na anapofanya maamuzi ya ama kukubali au kukataa anawajibika yeye na matokeo ya uamuzi wake. Huwezi tena kumlaumu mshauri kwa maamuzi anayochukua mshauriwa. Huo ndiyo ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Literally, I guess. That's not important. Physical presence has to be underscored by sound intelligence input. Otherwise it may just amount to boots in the air.Mind you.. You're speaking to the boots on the ground.
Haki ipi ?Ana haki!
MimiWakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama Lowassa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwanini Rais awahusishe na mauaji yanayotokea Kibiti.
Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua
Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua
Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine
Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti
Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye
Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko
Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Watanzania kwa vitisho vya maneno!!!Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama