Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,587
- 134,226
Mkuu eden kimario, ujio wa social media umemfanya kila mtu kuwa ni mwandishi wa habari, repoter, next time ukipandisha uzi kuhusu jambo lolote, baada ya kutoa maoni yako kama haya kwenye uzi huu, mwisho chini unaweka the background, hicho kilichosemwa, kwasababu don't asume kila mtu alisikia!.Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama Lowassa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwanini Rais awahusishe na mauaji yanayotokea Kibiti.
Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua
Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua
Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine
Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti
Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye
Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko
Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Hii inasaidia kulifanya bandiko lako liwe linaishi, ili hata mtu akijutana nalo kesho, ataelewa lilikuwa linazumgumzia nini.
Mfano ni bandiko hili, JPM is now long gone na saa hizi he is resting in peace, kwenye bandiko hili tunaona only one side ya maoni yako, lakini hicho kilichosemwa hakipo!. Kitafute ukiweke, ili mtu atakayesoma leo, kesho na keshokutwa, atajua, ulikuwa unazungumzia nini.
P