Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

Point of correction

Nimemsikiliza Rais kwa makini sana alichokisema ni kwamba wanasiasa hao wanashindwa kutoa matamko juu ya mauaji yanayoendelea Kibiti badala yake wanaongea vitu ambavyo wanajua kabisa madhara yake kwa ajili ya kutafuta kiki za kisiasa,akasema je wakiambiwa ndio wanaohusika na issue ya Kibiti watabisha????

Jamani muwe mnasikiliza na kuelewa sio kudakia mambo juu juu na kuja kuchochea hapa.

Ni kweli hatujawahi kuwasikia upinzani wakikemea au kusema chochote juu ya Kibiti na hii inadhihirisha wazi kuwa hili jambo linawafurahisha.

Ukweli lazima usemwe,mambo ya kuoneana aibu ndio yamelifikisha hili Taifa hapa.
 
Mkuu;
Mbona mapema sana? Au ulikesha nalo? Hii inaonesha wazi kuwa unatakiwa kwenda kutoa lock. Unataka kutuaminisha kuwa huyo Nyerere alikuwa dicteta sana au? Angalia, ati wanaokufa ni ccm tu. Yaani unataka kutuaminisha kuwa wale Polisi walikuwa ccm?? Yaani jeshi la polisi ni ccm? Weye ndiye ulitakiwa uwe lock up saa hii. Lakini bado unajinafasi huku uraiani tu hadi JF.
Kuambiwa wapo watu nyuma ya Lowasa maana yake ni kwamba, hiyo level uliyoisema amefikia huyo Lowasa hakufika hapo kwa miguu yake mwenyewe bali ana watu wengi tu waliomwinua na kumfikisha hapo.
Mada ni Je, mh rais alistahili amjibu Lowasa?? Usimwinue Lowasa kihivyo. Rais alitakiwa amtume waziri kama Ummy Mwalim amjibu Lowasa wakati huyo waziri alipokuwa anatoa ufafanuzi wa majibu ya yule mama aliyepotelewa na mtoto.
Rais anapowajibu watu ka hao, anawakuza saana.
Raisi anathibitisha kauli ya wapinzani kuwa Polisi ni tawi la CCM. vyenginevyo asingelisema wanaouliwa ni ccm tu
 
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ropoka ropoka yake ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Atakuwa ameshauriwa na Polepole, yule mbunge mganga wa kienyeji Maji Marefu, Lusinde/Kibajaji na yule aliyepewa ubunge baada ya mama yake kufa, somebody Kombani!
 
Ni hatari sana pale moto unapowaka wewe kwa uelewa wako ukalazimisha uzimwe kwa kutumia nishati ya petrol ...!!!
 
Get Real bro!

Lowassa is not a threat in this country. Yes. He once was. But not now or in the future. Him or his supporters, the earlier they realize that the better.

I am sure JPM hakupenda kauli yake ya juzi kuhusu Uamsho. Hata kama naheshimu haki ya EL kutoa mawazo. wale jamaa wa Uamasho wako gerezani kwa order ya Mahakama. Awaachie Mahakama waamue. Kauli kwamba yeye angewaachia mara moja kama angeingia madarakani..maana yake ni kwamba Mahakama haijui kazi yake-au angeitumia Mahakama kufanya analolitaka. It is a long debate on the independence of our judiciary and thats not my concern here.

Lakini I guess hata EL angetakiwa kuwa careful na kauli yake especially kwa kesi iliyoko Mahakamani.

Mzee EL akapumzike Ngarashi anywe maziwa na whisky. Huku akisoma magazeti ya Economist na kuangalia News CNN.

The man is past his sell by dates on the shelf! Amekula vya kutosha! Awe na shukrani kwa waTanzania.

Masanja.
ni uwongo UAMSHO hawapo gerezani kwa amri ya mahakama wapo gerezani kwa amri ya CCM kama unao ushahidi tuletee. engekuwa ni amri ya mahakama basi wengeshitakiwa Zanzibar sio Tanganyika kwani kosa limefanywa zanzibar.
 
Point of correction

Nimemsikiliza Rais kwa makini sana alichokisema ni kwamba wanasiasa hao wanashindwa kutoa matamko juu ya mauaji yanayoendelea Kibiti badala yake wanaongea vitu ambavyo wanajua kabisa madhara yake kwa ajili ya kutafuta kiki za kisiasa,akasema je wakiambiwa ndio wanaohusika na issue ya Kibiti watabisha????

Jamani muwe mnasikiliza na kuelewa sio kudakia mambo juu juu na kuja kuchochea hapa.

Ni kweli hatujawahi kuwasikia upinzani wakikemea au kusema chochote juu ya Kibiti na hii inadhihirisha wazi kuwa hili jambo linawafurahisha.

Ukweli lazima usemwe,mambo ya kuoneana aibu ndio yamelifikisha hili Taifa hapa.
Sasa watoe matamko gani. Mbona matamko yanatolewa hayafanyiwi kazi. Mauwaji hayajaanza leo. Leo ndyo wanajifanya wanamachungu na mauwaji sababu wanauliwa wao. Hapa juzi kipind wanatekwa na kuuwawa wapinzani mbona walikuwa hawajali.
 
Sijaelewa hasa hoja gani unajaribu kujenga hapa kwa kuzingatia hoja ya awali iliyokuwa ikiwalaumu washauri wa Rais na majibu yake kwa waziri mkuu mstaafu. Sijawahi kuwasikia wamarekani wakiwalaumu washauri wa Trump kwa yanayoendelea huko. Mara zote ni yeye Trump ndiye ama analaumiwa au kusifiwa kwa maamuzi au kauli au tweet anazotoa.
Alichomaanisha aliyeleta mada ni kuwa alipaswa kutamka mambo yaliyo filtered na vyombo vya taasisi na si utashi wake. Ni namna ya kulielezea jambo kwa mtindo wa ukosoaji. Ni kama mtu akuulize 'mwalimu wako ndio alikufundisha hivi?', nia yake hasa ni kukuambia kuwa ulichofanya au kusema si standard ya shule
 
Raisi anathibitisha kauli ya wapinzani kuwa Polisi ni tawi la CCM. vyenginevyo asingelisema wanaouliwa ni ccm tu

Mkuu;
Wewe ndo umesema wala sio mimi. Nilikuwa najiuliza tu kuwa hii kitu imekaaje? Kwa nini aseme ati ni wanachama wa chama flan kimoja tu wanauliwa?
 
Lowassa angekuwa kipindi cha nyerere angekuwa ndani saa hizi, kuna statement kwa level ya lowasa hakutakiwa kuongea yale

wanaokufa ni ccm tu??

lowassa hana sapoti yeyote, unless unasema hao wauaji ndio wako nyuma ya lowassa??!!!

nyuma ya lowassa?? unamtisha nani??
Walioko nyuma yake kama kweli wana nguvu wangemfikisha ikulu aliposema mafuriko ayazuiliki lkn yalizuilika kwa mkono
 
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ropoka ropoka yake ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Daud Bashite kwa sasa ndiyo mshauri wake mkuu na wanachokifanya ni kutengeneza mazingira ya kumbambikia kesi Lowasa wapo mbioni kupandikiza mtu huko Kibiti atajifanya yy ndiyo alikuwa akiua watu watazuga wamemtesa kawataja Lowasa, mbowe, Lema na mnyika kuwa ndiyo walimtuma huko kuua watu, hii ni njia mojawapo ya kumbambikia kesi japo wapo busy saa 24 kubuni mbinu za kuwasambaratisha chadema kwa kifupi CCM wanataka warudishe mfumo wa chama kimoja, ni wakari Wapinzani wawahi mapema kwenda kufungua kesi kwenye mahakama ya kimataifa The Hague kabla hawajaanza kufanyiwa Unyama Nchi ikaingia kwenye machafuko.
 
Alichomaanisha aliyeleta mada ni kuwa alipaswa kutamka mambo yaliyo filtered na vyombo vya taasisi na si utashi wake. Ni namna ya kulielezea jambo kwa mtindo wa ukosoaji. Ni kama mtu akuulize 'mwalimu wako ndio alikufundisha hivi?', nia yake hasa ni kukuambia kuwa ulichofanya au kusema si standard ya shule
Hivyo unavyoviita vyombo vya taasisi viko pale kumshauri na yeye ana uhuru wa kikatiba wa kukubali ushauri wao au kuukataa. Wanaweza waka-filter kama unavyosema lakini yeye akaamua kurudisha vile vilivyokuwa filtered. Hivyo anachoongea yeye ni "final na conclusive" na sifa na lawama zote zinabaki kuwa ni za kwake.
 
Walioko nyuma yake kama kweli wana nguvu wangemfikisha ikulu aliposema mafuriko ayazuiliki lkn yalizuilika kwa mkono
Kikundi cha uchakachuaji cha January makamba bado kipo na sasa kipo busy na lipumba kudhoofisha upinzani ni Wajanja sana wamebuni mladi wa kula pesa za CCM na magufuli kwa ujumla baada ya kugundua hawapendi Wapinzani wakatumia fursa hiyo vizuri.
 
Kitu ambacho Huwa sikubaliani na raisi wangu kipenzi Ni kujibu Kila kitu anachosikia anapaswa ajue vitu vingine hushughulikiwa kimya kimya
Na hili linafanya rais atofautiane sana na watendaji wake katika matamko, mfano Ni juzi tu pm majaliwa amesema waislamu hawausiki na mauaji ya kibiti wiki haijaisha rais anatwambia uamsho na kibiti ni kitu kimoja hatuelewi kwa kweli
Duuuh hii kali sasa huyu raisi wetu ni balaa kwakwel ,saa nyingine maneno yake sio duuh ndo ameshatofautiana na msaidizi wake sasa ngoja movie iendelee
 
ni uwongo UAMSHO hawapo gerezani kwa amri ya mahakama wapo gerezani kwa amri ya CCM kama unao ushahidi tuletee. engekuwa ni amri ya mahakama basi wengeshitakiwa Zanzibar sio Tanganyika kwani kosa limefanywa zanzibar.
Ni kweli na kinachofanyika CCM waogope kuwapeleka mahakamani ni nini? iweje CCM wabuni kuwabambikia chadema kesi juu ya kibiti kupitia ucheleweshaji wa kesi makusudi?
 
Back
Top Bottom