[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106]Wanasiasa ndio wameonywa wachunge midomo yao kabla ya kutoa kauli zao. Yeye sio mwanasiasa ila ni kiongozi wa chama cha siasa. Hapo tuu ndio huwa naishiwa nguvu na kubaki tuu kuiombea nchi yangu nzuri Tz.
Kama ulinielewa toka mwanzo ni.kuipinga kauli yake kuhusisha dini fulani na kinachoendelea kibiti kwa kutangaza hadharani wakati IGP,Waziri husika walikwepa kulisema hilo.Yeye ni rais wa Tanzania nzima sio wa watu fulani.Tukubali kuwa amekosea kusema yale aliyoyasema hata kama ni ya kweli hakupaswa kusema vileLkn cyo kusema kuwa watafanya lolote make ingekuwa hivyo wadingekuwa humo miaka minne hadi sasa....Mimi na wewe hatujui kitu...yeye(Rais) na watu wake wa intelijensia ameshakwambia kuna connection...na isitoshe kma ni udini na wewe fikiria u, cha muhimu Tuwaombee dua wapate haki yao.
Mbns wewe unavutia sana kwenye udini? Sidhani kuna sehemu ametaja dini ktka maelezo yke, hapo unataka kuleta udini wewe, wale walioko ndani wanachukuliwa kma wahalifu, hvyo usiingize dini nzma ya kiislamu huko, cha kujadili hapa ni kuwa haki itendeke kma hawana makosa waachiwe huru, hiyo miaka kukaa ndani bila kuhukumiwa si sawa.Kama ulinielewa toka mwanzo ni.kuipinga kauli yake kuhusisha dini fulani na kinachoendelea kibiti kwa kutangaza hadharani wakati IGP,Waziri husika walikwepa kulisema hilo.Yeye ni rais wa Tanzania nzima sio wa watu fulani.Tukubali kuwa amekosea kusema yale aliyoyasema hata kama ni ya kweli hakupaswa kusema vile
kama nawaona mtakavyotoa machozi.Wewe ndio unasema atawekwa lockup mimi nikakuambia who cares,
je atakuwa wa kwanza mbona kina Herbinder Sethi na Rugemarila wafadhili wakuu wa CCM wako lockup sembuse Lowassa.
Wewe tuu ndio ujasikia .nani wewe tuu unaangalia tbc tv .usitujumlishe kama tuko chumbani kwako .huko mtaani kwakoPoint of correction
Nimemsikiliza Rais kwa makini sana alichokisema ni kwamba wanasiasa hao wanashindwa kutoa matamko juu ya mauaji yanayoendelea Kibiti badala yake wanaongea vitu ambavyo wanajua kabisa madhara yake kwa ajili ya kutafuta kiki za kisiasa,akasema je wakiambiwa ndio wanaohusika na issue ya Kibiti watabisha????
Jamani muwe mnasikiliza na kuelewa sio kudakia mambo juu juu na kuja kuchochea hapa.
Ni kweli hatujawahi kuwasikia upinzani wakikemea au kusema chochote juu ya Kibiti na hii inadhihirisha wazi kuwa hili jambo linawafurahisha.
Ukweli lazima usemwe,mambo ya kuoneana aibu ndio yamelifikisha hili Taifa hapa.
Acha unafki nyie mbona kipindi lukuvi anasema zanzibar ikipewa uhuru itakuwa taifa la kiislam na magaidi watahamia huko hamkusema ni mdini!!! Ila lowasa kutoa mawazo yake ndio anakuwa mdini???Lowassa angekuwa kipindi cha nyerere angekuwa ndani saa hizi, kuna statement kwa level ya lowasa hakutakiwa kuongea yale
wanaokufa ni ccm tu??
lowassa hana sapoti yeyote, unless unasema hao wauaji ndio wako nyuma ya lowassa??!!!
nyuma ya lowassa?? unamtisha nani??
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
hahahahhahahhaaPole pole ndyo mshauri wake
Wakati Waziri mkubwa kwenye ibada za idi kule Mji wa wachaga alisema kuwa mambo ya kibiti hayana uhusiano na imani ya kiisilamu. lakini mkuu wa kaya amesema kuwa mashehe wa uamsho wanahusika na issue za kibiti. Ishu hii inawezekana ikawa ni kweli kabisa, lakini haikuwa sahihi kuiweka public, kwamaana kunawengi tulikuwa tunajua niissue ya kihuni na visasi tu kwa watu wa rufiji lakini baada ya kauli ya mkuu, wale ambao walikuwa hawajihusishi lolote na issue ya kule sasa wanaweza anza kufukiri mara mbili mbili kuwa jamaa wanachotetea kina wahusu wao pia na hii kuweza sababisha kusambaa kwingine.Yani Rais wa nchi kalitangazia taifa kuwa mauaji ya Kibiti yanafanywa na masheikh wa uamsho.
Namsihi Pombe ajifunze kuweka akiba ya maneno.
Hivi kwa nini kila anachofanya rais watu mnakimbilia kuwalaumu washauri? Una maana rais yeye ni mtu ambaye hana utashi wake na kila anachoshauriwa anakimeza tu bila kuongeza na za kwake? Ukweli ni kwamba washauri wanamsaidia tu kuboresha maamuzi au hotuba yake lakini kila anachofanya ni uamuzi wake binafsi na sifa au lawama ni za kwake.
Haya maneno yako najihusisha kama ndo nayatamka mimi vile, ili angalau tu kitu fulani kinachonikosesha amani moyoni kitoke, kwani kauli kama hii kutoka kwa mtu kama 'kamanda inchifu' sio jambo zuri kabisa!!Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua
Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua
Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine
Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti
Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye
Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko
Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Wakati Waziri mkubwa kwenye ibada za idi kule Mji wa wachaga alisema kuwa mambo ya kibiti hayana uhusiano na imani ya kiisilamu. lakini mkuu wa kaya amesema kuwa mashehe wa uamsho wanahusika na issue za kibiti. Ishu hii inawezekana ikawa ni kweli kabisa, lakini haikuwa sahihi kuiweka public, kwamaana kunawengi tulikuwa tunajua niissue ya kihuni na visasi tu kwa watu wa rufiji lakini baada ya kauli ya mkuu, wale ambao walikuwa hawajihusishi lolote na issue ya kule sasa wanaweza anza kufukiri mara mbili mbili kuwa jamaa wanachotetea kina wahusu wao pia na hii kuweza sababisha kusambaa kwingine.