Na huyo Mzee mnayemtetea mbona hana busara? Alipokuwa ameongea mbona mlimwona anachofanya ni kitu kizuri zaidi? Au ubaya upo kwa Raisi Magufuli tu? Kumbuka juzi kuna lugha fulani nilikuambia, ila ilichofanya wewe ulikasirika.Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua
Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua
Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine
Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti
Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye
Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko
Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
They are not fit to be presidential advisers even themselves need advisers!!"...most of his presidential advisors have never met him, and even if they meet him, it is him who advises them" Mpamire.
Mungu wa wazee,maskini,waliokosa elimu na vijana wa wasio na maendeleomungu kwani huwa anapangiwa cha kuongea au kushauriwa!?
IPO siku mtamwelewa tu Raisi, kama ilivyochuwa muda kumwelewa kwenye makinikia, Leo hii hamna tena cha kuongea na ndiyo maana wanasiasa waliofilisika kisiasa wanaungaunga maneno ili wawagombanishe Watanzania. Ila watashindwa tu tena muda sio mrefu.Hapo hata mimi Rais wangu mpendwa sijamuelewa.
Kuhusisha wale jamaa wa Zanzibar na kinachoendelea Kibiti ni makosa makubwa au hakupaswa kuyasema hadharani.
Hii maana yake Rais anatangaza kua kinachofanyika Kibiti ni ugaidi, maana yake ni kua sasa magaidi wote wataanza kumiminika Kibiti maana serikali ishasema kuna ugaidi.
Haikua sawa kabisa kusema yale hadharani kwa mtazamo wangu.
Kwani jina la Lowasa lilitajwa?!!!!Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua
Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua
Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine
Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti
Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye
Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko
Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Naona Rais anaingilia Uhuru wa mahakama na utendaji wa Jeshi la Polisi. Kama masheikh wale walikamatwa mwaka 2012 kwa nini hawahukumiwi kwa kesi zao?
Matokeo yake sasa kila linalptokea nchini wanahisishwa.
Halafu kama Polisi wameshamkamata Lowassa na wanaendelea na uchunguzi, Rais unatoa tena kauli ya kuwataka wafanye kazi hao, IPI?
Unataka kutuambia dini ya kiislamu inawatumia mashehe kushirikiana na magaidi.Kwani wewe una vyanzo vya taarifa za kijasusi kuliko Rais?kwa taarifa yako UAMSHO ni kikundi cha kigaidi kinachoshirikiana na Boko Haram.Kwaiyo ni makosa kwa mtu kama Lowassa alipata kuwa waziri mkuu kutetea magaidi,ingia Google kidogo upate data za UAMSHO.
Hajatishwa bali kaambiwa ukweli, kama anabisha atoe pua yake tena aone. Na kama mtakwenda kuandanana na kuimba mapambio tena.Lowassa angekuwa kipindi cha nyerere angekuwa ndani saa hizi, kuna statement kwa level ya lowasa hakutakiwa kuongea yale
wanaokufa ni ccm tu??
lowassa hana sapoti yeyote, unless unasema hao wauaji ndio wako nyuma ya lowassa??!!!
nyuma ya lowassa?? unamtisha nani??
Ubusara UPI mnautaka watu wanazidi kufa halafu MTU analeta hoja nyingine za kilofa za kuzidisha chuki kwa wanaotekeleza mauaji.Uwe unawaza nje ya box itakusaidia kuelewa kwa rais ni binadamu anaweza kukosea na yeye kama kiongozi anatakiwa kuonyesha kuwa ni kiongozi mwenye busara na busara huonekana zaidi unapokuwa umechukizwa
Amekosea sana afaham kuwa nchi hii si familia yake
Mijinga iliyokuwa imeahidiwa pipi kama MTU wao angeshinda ndiyo inasumbua sumbuana kulaumulaumu. Acheni JPM apige kazi mwanaume wa shoka TZ.inauma sana kuona nguvu kazi ya taifa haiwez kufikili kwa makini ... tuwekeze muda katika kusoma na utambuzi na tuache siasa nyepesi katika maisha ya Watu.
Yani Rais wa nchi kalitangazia taifa kuwa mauaji ya Kibiti yanafanywa na masheikh wa uamsho.
Namsihi Pombe ajifunze kuweka akiba ya maneno.