Rais kasema wanaoua wanaCCM Kibiti ni mashehe na video clips zipo, wewe unataka kupingana na rais.Mmekuwa mabingwa wa kuchengesha maneno kwa sababu bila kuchochea hampati kitu cha kuongea,hoja zimewaishia mnapumulia mashine mmekaa mnasubiri Rais aongee mpate cha kusema,poor Ukawa,poor chadema,poor upinzani wa Tanzania mjipange upya.