Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,828
najua sana mkuu, sana sana kuliko weweUtafiti umefanyika kuonyesha kuwa mauaji yametokana na usumbufu unaofanywa na watumishi wa idara ya polisi, maliasili na Serikali za vijiji na mitaa huku wewe unakuja kuropoka humu JF kuwa wanaouwawa ni wanachama wa ccm!
na unachosema ndio ukweli
lowassa aangalie anasema nini / wakati gani? kwa nini?