Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

Nimesikitika zaidi pale alipo husisha serikali ya marekani na Guantanamo bay kuwa hata marekani wanafanya hivyo,kuilinganisha marekani inayotumia mamilioni ya dollar kupambana na ugaidi na kuweka wale masheikh kizuizini ni makosa sana.
Rais aliyemaliza muda obama mwenyewe alitaka ku-shut down Guantanamo bay kutokana na kukiuka haki za binadamu.
 
Hapo hata mimi Rais wangu mpendwa sijamuelewa.
Kuhusisha wale jamaa wa Zanzibar na kinachoendelea Kibiti ni makosa makubwa au hakupaswa kuyasema hadharani.

Hii maana yake Rais anatangaza kua kinachofanyika Kibiti ni ugaidi, maana yake ni kua sasa magaidi wote wataanza kumiminika Kibiti maana serikali ishasema kuna ugaidi.

Haikua sawa kabisa kusema yale hadharani kwa mtazamo wangu.
Mungu atuepushe mbali na hawa magaidi kwani ni maafa makubwa. Ra
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ropoka ropoka yake ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Kweli hawa wanasiasa wa upinzani wanamtega Mheshimiwa Rais Magufuli kwani wanatoa tamko wakijua Rais Magufuli atajibu na majibu ya Mheshimiwa Rais Magufuli yanawaongezea ajenda ya kum challenge ni bora Rais Magufuli akae kimya aache vyombo vya usalama vifanye kazi.
Rais Magufuli aendelee na juhudi zake za kusafisha na Kujenga uchumi imara hapa Tanzania kwani waswahili husema kelele za chura havizuiii ngombe kunywa maji
 
MCHAWI MPE MTOTO AKULELEE.
UKITOA TAARIFA POLISI AU UKISHATANGAZA KUWA FULANI ANAPANGA KUKUUA NA UKAONYESHA USHAHIDI HATA KAMA NI WA KIMAZINGIRA BASI HUYO FULANI BAADA YA HAPO ATAACHA MIPANGO YAKE YA KUKUUA NA NDIYE ATAKUWA MLINZI WAKO.
UKICHOSHWA NA TABIA ZA MTU MZOMEE HADHARANI.
SHERIA HAIRUHUSU MTU KUWATETEA WATUHUMIWA WA UGAIDI WAKATI KESI YAO BADO INAENDELEA.
KUNA VIONGOZI AMBAO LEO WAKIPEWA HATA UWAZIRI MKUU TU MAFISADI WOTE WATATOLEWA MAGEREZANI.
RAIS MAKUFULI ANAUELEWA MKUBWA WA MAMBO YA INCHI KULIKO SISI.
TANZANIA YETU ITAKUWA NZURI SANA KIUCHUMI NA KIUSALAMA JINSI MUDA UNAVYOENDA.
 
Hivi kwa nini kila anachofanya rais watu mnakimbilia kuwalaumu washauri? Una maana rais yeye ni mtu ambaye hana utashi wake na kila anachoshauriwa anakimeza tu bila kuongeza na za kwake? Ukweli ni kwamba washauri wanamsaidia tu kuboresha maamuzi au hotuba yake lakini kila anachofanya ni uamuzi wake binafsi na sifa au lawama ni za kwake.
Kwa uzito na unyeti wa nafasi take Kama raisi hakupaswa kusema hayo, kumbuka hizo ni tuhuma nzito sana kutolewa naye hadharani, hivi ikatokea mahakama ikathibitisha tofauti watu watamwelewaje? tatizo lake anataka ajibu kila kitu ndo hapo anapojikuta anafanya kazi za kina polepole. Serikali hii inaugonjwa wa kutotaka kukosolewa.
 
Kweli wee m-beroya endelea kujifunza maandiko kwanza, alaf ndio uje uandike humu ukiisha kuelewa[emoji120]

labda tuanze kwanza, je ulilaumu matamshi ya lowassa au ulikaa kimya?? ni alilaumu? alikosoa ambako kungemfanya Magu akae kimya??
 
Nchi hii kuna haki ya kutoa maoni,watu waache umbumbumbu.Kongo walijikita kwenye kukata viuno wakamwachia muhuni Mobutu akaiharibu nchi leo hii mnamuunga mkono Magufuli kwa vitu vya kipuuzi,subiri aivuruge nchi muanze kulalamika.
 
Kitu ambacho Huwa sikubaliani na raisi wangu kipenzi Ni kujibu Kila kitu anachosikia anapaswa ajue vitu vingine hushughulikiwa kimya kimya
Na hili linafanya rais atofautiane sana na watendaji wake katika matamko, mfano Ni juzi tu pm majaliwa amesema waislamu hawausiki na mauaji ya kibiti wiki haijaisha rais anatwambia uamsho na kibiti ni kitu kimoja hatuelewi kwa kweli
Vululuvululu, kuna nyoka kule kwetu ukimwona huwezi jua kichwa kipo wapi wala mkia uko wapi
 
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ropoka ropoka yake ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu

naomba kujua msimamo wako kuhusu matamshi ya lowassa
 
Yani Rais wa nchi kalitangazia taifa kuwa mauaji ya Kibiti yanafanywa na masheikh wa uamsho.
Namsihi Pombe ajifunze kuweka akiba ya maneno.
Ndo kusema keshatoa hukumu sio, sio nchi tu ni dunia nzima, wapelekwe tu gerezan mojakwa moja,
 
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ropoka ropoka yake ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu
Wacha kupotosha.
Lowasa anaongoza chama chake, yapo mengi yakuongelea kuhusu chama chake.
Je hao mashehe wamekamatwa na nani?
Kingine Lowasa hakupaswa kuingilia maamuzi ya mwenzake, mbona yeye lowasa hakuwahi kutoa kauli hii wakati yupo selikalini.
 
Yani Rais wa nchi kalitangazia taifa kuwa mauaji ya Kibiti yanafanywa na masheikh wa uamsho.
Namsihi Pombe ajifunze kuweka akiba ya maneno.
Wanasiasa ndio wameonywa wachunge midomo yao kabla ya kutoa kauli zao. Yeye sio mwanasiasa ila ni kiongozi wa chama cha siasa. Hapo tuu ndio huwa naishiwa nguvu na kubaki tuu kuiombea nchi yangu nzuri Tz.
 
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama lowasa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar waliofungwa bila kuhukumiwa ni magaidi? Na kwa nini raisi awahusishe na mauaji yanayotokea kibiti
Je haoni hii ropoka ropoka yake ni kuendelea kuwaamsha wauwaji hao wa kibiti na kwingineko kuendelea kuua

Wakati mwingine rais wetu magufuli anawapa kiburi wauaji na sababu ya kuendelea kuua

Hatutaki kuona nchi yetu ikiingia katika vita isyoisha
Magufuli amekosea sana jana kuwahusisha mashehe walio ndani na mauaji yanayoendelea huko kibiti na kwingine

Hii vita yake na lowasa haitaiacha nchi yetu salama
Mtu mkimya lakini yuko na watu nyuma yake wanaomsapoti

Bado najiuliza nani aliemshauri kumjibu lowasa au ni yeye kama yeye

Mashehe walio gerezani bila kuhukumiwa amewahusishaje na mauwaji yanayoendelea huko kibiti na kwingineko

Tujifunze kuchagua nini cha kujibu

Get Real bro!

Lowassa is not a threat in this country. Yes. He once was. But not now or in the future. Him or his supporters, the earlier they realize that the better.

I am sure JPM hakupenda kauli yake ya juzi kuhusu Uamsho. Hata kama naheshimu haki ya EL kutoa mawazo. wale jamaa wa Uamasho wako gerezani kwa order ya Mahakama. Awaachie Mahakama waamue. Kauli kwamba yeye angewaachia mara moja kama angeingia madarakani..maana yake ni kwamba Mahakama haijui kazi yake-au angeitumia Mahakama kufanya analolitaka. It is a long debate on the independence of our judiciary and thats not my concern here.

Lakini I guess hata EL angetakiwa kuwa careful na kauli yake especially kwa kesi iliyoko Mahakamani.

Mzee EL akapumzike Ngarashi anywe maziwa na whisky. Huku akisoma magazeti ya Economist na kuangalia News CNN.

The man is past his sell by dates on the shelf! Amekula vya kutosha! Awe na shukrani kwa waTanzania.

Masanja.
 
Kwa uzito na unyeti wa nafasi take Kama raisi hakupaswa kusema hayo, kumbuka hizo ni tuhuma nzito sana kutolewa naye hadharani, hivi ikatokea mahakama ikathibitisha tofauti watu watamwelewaje? tatizo lake anataka ajibu kila kitu ndo hapo anapojikuta anafanya kazi za kina polepole. Serikali hii inaugonjwa wa kutotaka kukosolewa.
Nadhani hoja ya mtoa mada ni kuwa washauri wake ndiyo walaumiwe kwa yeye kusema aliyoyasema. Mtazamo wangu ni kuwa mshauri hawezi kulaumiwa kwa speech anayotoa mkuu wake kwani mwenye wajibu wa mwisho wa kuamua nini cha kuongea na kuacha kuongea ni mtoa hotuba.
 
Nimemsikiliza kipanya muda sio mrefu kasema kuna clip alikua anaitazama jana ambayo inaonesha mahojiano baina ya mwandish wa habari na mjane ambaye mume wake ameuawa. Mwanamke anasema kwamba waliingia watu wawili na kumkamata mume wake kisha wakamuambia "ukijibu swali tutakalo kuuliza kamwe hatutakudhuru" mumewe akawa anapga kelele wakati hajapigwa pia hakuwapa nafasi ya kuuliza swal. Mkewe alipata upenyo na kukimbia nje, amefka kwa majiran akasikia mlio wa risasi.walipomuua wakamchukua mtoto aliyekua ndani amelala na wakamtoa nje kisha wakachoma nyumba. Je hawa ni magaidi? Au kuna jambo nyuma ya pazia? Nataman nimgepata kujua swal walilotaka kumuuliza hakika lingeleta tafsir kubwa kwetu. Mkuu wa nch kakosea sana kuwahusisha hao mashe na haya matukio
 
Wewe Waboroyaa huna akili. Akili zako ni kama za wale wanaotesa wananchi wa Kibiti, Mkuranga na Rufiji. Utafiti umefanyika kuonyesha kuwa mauaji yametokana na usumbufu unaofanywa na watumishi wa idara ya polisi, maliasili na Serikali za vijiji na mitaa huku wewe unakuja kuropoka humu JF kuwa wanaouwawa ni wanachama wa ccm! Hovyo kabisa.
Mkuu unadhan watafiti hao (kama wapo) wana taarifa ya ndani zaidi ya Rais wa nchi?
 
Urais ni taasisi, rais ni kinara. Kama ipo institution kubwa hapa duniani, basi ni Catholic Church na Pope ndio kiongozi wake. Pamoja na ukiongozi wake huo, maamuzi makubwa yenye kuathiri mustakabali wa maisha wa Wakatoliki hupitia hatua mbali mbali na MTAGUSO hufanywa na baraza la Makadinali baada ya maombi na kufunga kwa muda mrefu. Nchi huongozwa na katiba na sio utashi wa mtu. Ndio maana Trump anabananishwa kila leo asiigeuze America kuwa WWE Afterburn
Sijaelewa hasa hoja gani unajaribu kujenga hapa kwa kuzingatia hoja ya awali iliyokuwa ikiwalaumu washauri wa Rais na majibu yake kwa waziri mkuu mstaafu. Sijawahi kuwasikia wamarekani wakiwalaumu washauri wa Trump kwa yanayoendelea huko. Mara zote ni yeye Trump ndiye ama analaumiwa au kusifiwa kwa maamuzi au kauli au tweet anazotoa.
 
Rais anakuwa na pointi, tatizo ni uelewa wako. Siyo lazima kila kitu uelekezwe Kwa kidole. Jiongezeni.
 
Back
Top Bottom