Nani alifaa baada ya Kifo Cha JPM?
Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Katiba iko wazi tusiwe tunajadili mambo yaliyo nje ya katiba siku moja tunaweza kupanda mbegu mbaya watu wabaya mwishoe wakainajisi.
 
Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Mama samia, Allah amjaalie umri mrefu

Nikisema shida kubwa ya kuchukiwa huyu mama ni pamoja na UISLAMU NA PIA NI MWARABU.angelikua ni KAFIRI huyu mama mngeonyesha hizo chuki!!

Free palestine 🇵🇸
Iran 🇮🇷 🔥
 
Ni bahati mbaya sana huyu mama haikuwa imedhamiwa kungetokea la kutokea ila baada ya kutokea lililotokea kulikua hakuna namna katiba ifuate.

Lile tukio limekua darasa la kutosha kwetu , tena darasa lililo na garama kubwa mno, tena bado tunaendelea kufunfishwa miaka mitano inayo futa kwamba katika kuwaza nafasi ua urais makamu wake azingatiwe sana , maana sisi ni binadamu hatuna mrefu wala mapana juu ya uso wa dunia.
Uko sahihi Kiongozi....
 
Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
The worst part ni JPM did not know he had a pure enemy Just right to his nose.

Alitaka kumuua Lissu akiamini he was the really enemy…..sadly, the truth is always opposite of what people think.

JPM was distracted from the pure enemy and he was dealing with the wrong site

Trust your intuition, kuna energy flow ilienda snaa kwa JPM, abadili mSaidizi but alidharau intuition zake…..Msaidizi alitumika sana that costed JPM life. Hii ni sawa na ile ishu ya JFK na Lyndon

Never trust woman at any cost - Vitimbi vya wanawake. Nawaelewq waarabu kuwaweka mbali wanawake na uongozi

As of now , the country is Much fucqed just because of INDECISIVE JPM
 
Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Huchagui nani anafaa kuongoza (kwenye kifo cha rais)baada ya kifo cha rais.

Unachagua nani anafaa kuongoza kabla ya kifo cha rais, halafu unamuweka huyo mtu kuwa mgombea mwenza wa rais, anakuwa makamu wa rais.

Kikatiba anayekuja kuwa rais baada ya kifo cha rais ni Makamu wa Rais, bila kujali nani anafaa.
 
Sahihi kabisa. I think hii nafasi huwa walikuwa wanaichukulia poa sana. Utaona wanaitoa kwa just kudumisha Muungano na sio kwa competency ya mtu anaeweza kuja kusimama baada ya Rais
 
Katiba iko wazi tusiwe tunajadili mambo yaliyo nje ya katiba siku moja tunaweza kupanda mbegu mbaya watu wabaya mwishoe wakainajisi.
Unazungumzia Kajitabu tu ? « watanzania wangapi wnaelewa katiba » , kama kuheshimu mngeheshimu vitabu vya dini…… hako kengine ni kajitabu tu
 
Huchagui nani anafaa kuongoza (kwenye kifo cha rais)baada ya kifo cha rais.

Unachagua nani anafaa kuongoza kabla ya kifo cha rais, halafu unamuweka huyo mtu kuwa mgombea mwenza wa rais, anakuwa makamu wa rais.

Kikatiba anayekuja kuwa rais baada ya kifo cha rais ni Makamu wa Rais, bila kujali nani anafaa.
Kabisa
 
Sahihi kabisa. I think hii nafasi huwa walikuwa wanaichukulia poa sana. Utaona wanaitoa kwa just kudumisha Muungano na sio kwa competency ya mtu anaeweza kuja kusimama baada ya Rais
Yes.

Mat9keo yake Magufuli kafa, wakaanza kumuwekea figisu Samia asiwe rais, wakati walimuweka wenyewe.

Hapo ndipo utajua hii nchi ina watu wajinga.

Magufuli alijulikana kuwa ana matatizo ya moyo tangu akiwa chuo kikuu. Watu waliosoma naye wamemchangia akapelekwa Uingereza kwa matibabu na masomo. Jili jambo si siri.

Kwa hivyo ilijulikana huyu mtu anaweza kufariki madarakani. In fact kila mtu anaweza kufariki madarakani ila kwa Magufuli chances zilikuwa kubwa zaidi kitokana na matatizo yake.

Still wakamuwelea VP wa mapambo.

Halafu VP anaenda kuwa rais wanasema hajapata urais kihalali.
 
Huyu si ndiye alidanganya tena akiwa msikitini kuwa JPM yuko fit anachapa kazi wakati akijua kuwa alishaded?
Wewe hujawai kudanganya vipi kama Walimficha majaliwa alikua hajui lolote unamlaumu kwa kipi?
 
Hili sio swali halali, tunaongozwa na katiba, likitokea lolote kwa presidaa, VP anachukua, hakuna hoja ya nani anafaa.

Hoja ya msingi ni kuna Watanzania wengi tuu, ambao ni presidential material, who would have made a better presidents than What we have had, lakini kufuatia utaratibu wetu wa kupata wagombea urais, we dont go for best, tunatafuta nani ni mwenzetu ukijumlisha na kanuni ya mserereko, watu hawajitokezi, na Rais Samia ni mpango wa Mungu kuupata urais kwa kudra yake, JPM asingechomoka, CCM isingesimamisha mgombea mwanamke hata mara moja!., kwa Samia imetokea tuu, hajaomba wala hajasailiwa, October tunakwenda kumpa.
P
Umeng'ata na kupuliza at the same! 😃
 
Yes.

Mat9keo yake Magufuli kafa, wakaanza kumuwekea figisu Samia asiwe rais, wakati walimuweka wenyewe.

Hapo ndipo utajua hii nchi ina watu wajinga.

Magufuli alijulikana kuwa ana matatizo ya moyo tangu akiwa chuo kikuu. Watu waliosoma naye wamemchangia akapelekwa Uingereza kwa matibabu na masomo. Jili jambo si siri.

Kwa hivyo ilijulikana huyu mtu anaweza kufariki madarakani. In fact kila mtu anaweza kufariki madarakani ila kwa Magufuli chances zilikuwa kubwa zaidi kitokana na matatizo yake.

Still wakamuwelea VP wa mapambo.

Halafu VP anaenda kuwa rais wanasema hajapata urais kihalali.
Very right brother.JPM was sick na mara nyingi alikuwa anapata shida but was kept’confidential…… jamaa walipaswa kuona risk ahead. Walikuwa blinded na mambo ya Muungano wakati ile ni nafasi kubwa needs competent person na sio nafasi kwa ajili ya kudumisha muungano

Madhara yake kwa sasa yanaonekana

Hai make sense leo tukisema Somoe is Unfit wakati they trusted her kama Msaidizi wa Rais….. how Côme Msaidizi wa Rais as vice president anakuwa unfit to be a president in his absence …….

Hii nafasi ianze kupewa Heshima, itafutwe best way ya ku soften muungano but sio kupitia nafasi ya VP , we risk alot na ndio maana …. A need for constitutional reform .
 
Umeng'ata na kupuliza at the same! 😃
You do not know him , He is Intelluel bu no side . He is Neutral Guy

A Neutral Guy cannot be trusted

I prefer Mtu kama Lisu, we must know your side.
 
Back
Top Bottom