Pa-Paa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,205
- 3,186
Mama Samia Suluhu Hasssan Ndiye Chaguo La Mungu Duniani
NRNE muhimu sana katiba ibadilishwe aya mambo ya kurithishana ofisin muhimu sio kabisa mtu akifa uchaguzi ufanyikeWewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Kati ya Mh. Kassim a Samiah
Kuachana na katibaHilo ni swali la kijinga na kipumbavu kutoka kwa mtu mjinga na mpumbavu! Katiba ipo wazi na Serikali ya CCM inaiheshimu sana Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
MImi naona yupo mdau mmoja anaitwa Luca angetutoa
Write your reply...jpm alikua amemuandaa mrithi wake hussein mwinyi ila ndio ikatokea hv
Da.MangeWewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Kati ya Mh. Kassim au Samiah?
Kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukiishakuwa Makamu wa Rais, basi wewe ni "next president" akifariki aliyepo bila kujali kuna abled person in the cabinet or elsewhere! Ushanfahamu?mfano, leo kule Marekani, Makamu wa Rais ni JD Vance. Ni mtu mwenye uwezo mdogo sana kiakili, kimaono na Kiongozi, lakini ikitokea Mungu "akampenda zaidi" Trump, basi JD Vance ATAKUWA RAIS WA MAREKANI bila kujali udhaifu wake na uwezo mkubwa wa wengine walio Serikalini au nje ya Serikali.Kuachana na katiba
Nipo hapa kujifunza
Hata kama swal la kijinga napata idea watu wanasemaje
Kuliko kujiona unajua kila kitu
NimeelewaKwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukiishakuwa Makamu wa Rais, basi wewe ni "next president" akifariki aliyepo bila kujali kuna abled person in the cabinet or elsewhere! Ushanfahamu?mfano, leo kule Marekani, Makamu wa Rais ni JD Vance. Ni mtu mwenye uwezo mdogo sana kiakili, kimaono na Kiongozi, lakini ikitokea Mungu "akampenda zaidi" Trump, basi JD Vance ATAKUWA RAIS WA MAREKANI bila kujali udhaifu wake na uwezo mkubwa wa wengine walio Serikalini au nje ya Serikali.
Sijui unanielewa?
Haijalishi nani alikuwa anafaa...aliyekuwa anafuatia ni Makamu wake wa RaisWewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
🙏🙏🙏🙏Nimeelewa
MKuu.Write your reply...jpm alikua amemuandaa mrithi wake hussein mwinyi ila ndio ikatokea hv
Deputy azingatiwe na angaliwe Kwa jicho makini .Ni bahati mbaya sana huyu mama haikuwa imedhamiwa kungetokea la kutokea ila baada ya kutokea lililotokea kulikua hakuna namna katiba ifuate.
Lile tukio limekua darasa la kutosha kwetu , tena darasa lililo na garama kubwa mno, tena bado tunaendelea kufunfishwa miaka mitano inayo futa kwamba katika kuwaza nafasi ua urais makamu wake azingatiwe sana , maana sisi ni binadamu hatuna mrefu wala mapana juu ya uso wa dunia.
Jibu lako linaonyesha Makamu wake alikuwa hafai ila kwa sababu ya takwa la kikatiba hatukuwa na jinsi.Haijalishi nani alikuwa anafaa...aliyekuwa anafuatia ni Makamu wake wa Rais