matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,479
- 23,341
Kikatiba mama alifaa, asingefaa asungewekwa pale, ila Mpango nilimkubali zaidi kama hayati Magufuli asingeondoka kibailojia ( Kifo )
Kikatiba SamiaWewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Aisee, umewaza mbali...Huyu raisi wa Zanzibar angeshika hatamu za uongozi.
Ingekuwa inaheshimu katiba basi wangeheshimu na haki ya kuishi kama ilivyo ainishwa kwenye katiba kifungu cha 14 na 15 cha katiba ya JMTHilo ni swali la kijinga na kipumbavu kutoka kwa mtu mjinga na mpumbavu! Katiba ipo wazi na Serikali ya CCM inaiheshimu sana Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivi vibe la CUF bado lipo?, Nina kumbukumbu za ule mgogoro Hadi kulala ofsi za chama, kikikikiProf.IBRAHIM LIPUMBA
Mchumi
Lini iliwahi kuacha kuheshimu haki ya kuishi kwa Watanzania?Ingekuwa inaheshimu katiba basi wangeheshimu na haki ya kuishi kama ilivyo ainishwa kwenye katiba kifungu cha 14 na 15 cha katiba ya JMT
Basi uniambie hawa watu mmewahifadhi kwenye chumba gani huko chamani :-Lini iliwahi kuacha kuheshimu haki ya kuishi kwa Watanzania?
Chama chetu kimepoteza dira 😂😂Hivi vibe la CUF bado lipo?, Nina kumbukumbu za ule mgogoro Hadi kulala ofsi za chama, kikikiki
Hana makuu, angalia kazi yake huko Zanzibar! Hata JPM alitaka awe msaidizi wake ila sijui ilitokea nini!!!!Yaaa walau anasikiliza maoni ya watu na asingetuchinja chinja kama huyu bi mkubwa
Mabeho venance badala ya kuchukua nchi yy anaenda na maaskofu Vatican,Uzembe kabisa huu,Ona tulipo sasa,uongozi ni sifuri.Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM