Kassim Abdallah Mfoihaia (born 9 April 1987) is a professional footballer who plays as a defender for Championnat National 3 team Marseille II. Born in France, he plays for the Comoros national team.
MHESHIMIWA KASSIM AMARI MBARAKA MBUNGE WA TANGA MJINI ATEMBELEA MAKTABA
Mheshimiwa Kassim Makbel Mbunge wa Ngamiani Tanga leo ametembelea Maktaba na kuizawadia kitabu kizuri sana tena cha nyakati hizi tulizonazo.
Mheshimiwa Kassim Amari Mbaraka kaizawadia Maktaba kitabu cha Ayatullahi Udhma...
Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya uwajibikaji, uaminifu, uadilifu, na upendo.
Amesema Hayati Magufuli hakupenda mzaha katika kazi zake na...
Namna ya kutatua kero za wananchi. Kutoa maagizo na hata kushughulikia watendaji wa serikali?
Waziri mkuu ndie msimamizi mkuu wa shughuli za serikali.
Marehemu Sokoine alikuwa msimamizi mkuu wa shughuli za serikali. Maana hata maagizo yake yaliogopwa.
Vivyo hivyo kwa Kasim mstaafu ambae juzi...
Abdalah Kassim Hanga alikubalika sana kwenye siasa za Zanzibar.
Alikuwa na akili nyingi na alikiwa msomi kuliko Abeid Karume.
Hivyo watu wa Zanzibar walimkubali sana. Na alionekana anafaa kuwa raisi wa Zanzibar.
Aliuwawa na kutumbukizwq baharini na inasadikiwa kuwa Karume ndio alimuua kwa...
DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.
Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
dkt. mwigulu nchemba
dodoma
kassimkassim majaliwa
majaliwa
mkuu
mstaafu
mwigulu
mwigulu lameck nchemba
novemba
ofisi
ofisi ya waziri mkuu
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mstaafu
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022.
Ameongeza kuwa, kiwango cha ukondefu miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano kimepungua...
Hivi kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa. Ametaka kugombea akakatazwa ! Je kazuiwa na wanamitandao.
Kwanini hajawahi kuunga mkono kukemea mambo machafu ya utekaji, unyanyasaji unao endelea ?
Je anasusia? Ni Mzalendo au kazidiwa na wanamitandao?
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu ili kuwawezesha kupata ujuzi utakaowasaidia kujiajiri na kuchangia maendeleo...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) linapaswa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji zinazoyakabili mataifa ya Afrika na yale ya eneo la Karibiani.
Amesema kuwa changamoto hizo zinapaswa kujadiliwa...
Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu,
PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo
Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda...
Rais Samia anagombea muhula wa pili wa Urais wake na ndiyo muhula wa mwisho kwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo.
Kwa kuwa Majaliwa hagombei tena ubunge na kwa mujibu wa Katiba iliyopo Waziri Mkuu lazima awe ametokana na Wabunge wa kuchaguliwa, Rais Samia atalazimika kuchagua Waziri Mkuu mwingine...
Wazungu linapotekea jambo la muendelezo huwa wanamsemo wao maarufu who is a next? Wakiwa na maana nan anafuata.
Ndio macho na masikio ya watanzania sasa yatakua wazi mda wote kusikiliza nan anafata badala ya aliekua wazir mkuu kasim majaliwa na vice president mpango na balozi wa Tz Cuba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.