Uhanga unanisubua nduki
Njinjo una Nini lakini?
Embu niwache kidogo.
Uhanga unanisubua nduki
Njinjo una Nini lakini?
Embu niwache kidogo.
Hahaha huo mshape noma sanaNaumisa mioyo ya watu.
Hukuwa na bahati, ila ulistahili kilicho bora.Kwenye tabia yake Sina tatizo nae cos kabla sijawa na uhusiano tulikuwa marafiki so namfahamu vizuri atawakati namtongoza aikuwa rahisi kukubali haraka alinipa jibu la ndio baada ya wiki tatu na before ya hapo aliwakataa wanaume Kama wanne ambao ninawajua ila me ndio nikapata bahati yakukubaliwa.Ni mwanamke Safi Sana anajua kumjari mwanaume alafu sio mjuaji ukiachana tu na tabia yake ya kuvaa hayo mavazi
Picha kidogoHahaha huo mshape noma sana
Picha ipo kwenye avatar yakePicha kidogo
mavazi kama yako hapo pichani bidadaMavazi yasikuumize Sana kikubwa tabia na vile mlivyoshibana..muda utafika atayaacha tu,hakuna marefu yasiyo ncha.
Hukuwa na bahati, ila ulistahili kilicho bora.
U're mentally not OK. Nyie ndio mnaamini wazee peke yao ndio wenye busara na hakuna kijana mwenye busara. Acheni fikra potofu.Una umri gani wewe??
Wiki tatu tu ndo unahisi mufa mrefu kakuzungusha hapo. Dah kweli mapenzi ya mwendokasi hayaKwenye tabia yake Sina tatizo nae cos kabla sijawa na uhusiano tulikuwa marafiki so namfahamu vizuri atawakati namtongoza aikuwa rahisi kukubali haraka alinipa jibu la ndio baada ya wiki tatu na before ya hapo aliwakataa wanaume Kama wanne ambao ninawajua ila me ndio nikapata bahati yakukubaliwa.Ni mwanamke Safi Sana anajua kumjari mwanaume alafu sio mjuaji ukiachana tu na tabia yake ya kuvaa hayo mavazi
Kama ni muaminifu anakujali shida ya nini muache afanye vile moyo unapenda usisikilize watu watu ni wanafki.. Fakeni homo sapien
Bora pombe kuliko watu
Hilo lishamba na kwake rafiki zake kukataliwa eti ndio kipimo cha msimamo wa huyo demuWiki tatu tu ndo unahisi mufa mrefu kakuzungusha hapo. Dah kweli mapenzi ya mwendokasi haya
Umri wangu 23 na wa mpenzi wangu ni 23Hope anapenda vaa nguo fupi ndo zinakukera???
Kwa mtu anaejitambua kila nguo Sina sehemu yake!
Kanisani kuna nguo zake.
Msibani kuna nguo zake
Kutoka out kuna nguo zake
Kazini kuna nguo zake
Sasa tueleze hizo nguo ambazo hupendi anazivaa akiwa na wewe ama?
Umri wake??
Mm navaa nguo fupi ila haziwezi mkera mtu yeyote kama sketi ni magotini.
Huwezi yoka na bf wako, ukavaa nguo nusu uchi wakati unakuwa huko mwendako wahudumu nao wako nusu uchi sasa tofauti Mke na mhudumu ni ipi?
Nasema hivi kila nguo ina sehemu yake. Nguo ambayo ukivaa kila mtu akaguna haifai.
Watu tunavaa nguo fupi ila sio nguo fupi zaidi ya juu ya magoti.
Nina wasiwasi na umri wako na wa mchumba wako, kama wewe uko 35 mchumba 19 kuna shida, coz hill swala inabidi alitambuwe mwenyewe sio kwanza kuambiwa.
Unataka kuniambia wiki tatu ni ndogo wakati Kuna mademu wengine siku moja tu unan'goaHilo lishamba na kwake rafiki zake kukataliwa eti ndio kipimo cha msimamo wa huyo demu
Huu nd'o ushauri kuntu kuliko shauri zote za uzi huu,Haiwezekani, nasema haiwezekani tabia na mavazi visiendane
Tunavaa kutoka ndani ya nafsi zetu.
It’s an alert ni muda tu utaongea!!