ID Fake
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 503
- 778
Aliyesoma hiyo comment yako hapo juu [emoji115] kisha akaendelea kukushauri, hawezi kuwa hana matatizo ya akili!Kwenye tabia yake Sina tatizo nae cos kabla sijawa na uhusiano tulikuwa marafiki so namfahamu vizuri atawakati namtongoza aikuwa rahisi kukubali haraka alinipa jibu la ndio baada ya wiki tatu na before ya hapo aliwakataa wanaume Kama wanne ambao ninawajua ila me ndio nikapata bahati yakukubaliwa.Ni mwanamke Safi Sana anajua kumjari mwanaume alafu sio mjuaji ukiachana tu na tabia yake ya kuvaa hayo mavazi