Nampenda tatizo ni hili

Nampenda tatizo ni hili

Mtu anayevaa vibaya hawezi kuwa decent ni malaya tu huyo acha kutetea ujinga.
Mfano uliotolea hauendani na uhalisia. Hapa naongelea mtu aliyeingia utu uzima kuanzia miaka 18--> sizungumzii mtoto wa darasa la saba.Halafu tulikua tunazungumzia mavazi hayaendani na tabia ya mtu. Kuna watu wazima wanavaa hovyo kabisa unaweza sema wanajiuza au tabia zao mbovu lakini watu decent sana kuzidi hata mnaowaita wavaa vizuri.

Narudia tena badili fikra hizo potofu
 
Give her time atbadilika tu. Pia msisitize umuhimu wa kuvaa appropriate clothing mfano mkienda kwa wazazi mwambie avae nguo za heshima. Usisikilize wanaonasibisha tabia na mavazi, huko Mombasa makahaba wabobevu huburuza mabaibui na nyuso zao hazionekani lakini. ....
 
Haiwezekani, nasema haiwezekani tabia na mavazi visiendane
Tunavaa kutoka ndani ya nafsi zetu.
It’s an alert ni muda tu utaongea!!
I second this.
Haiwezekani apambane kumatanisha wanaume huko njiani kama hana mpango wa kuwapa
 
Mtu anayevaa vibaya hawezi kuwa decent ni malaya tu huyo acha kutetea ujinga.
Ndo hawa wanaofungua nyuzi za kuchapiwa. Unakaaje na mwanamke sehemu zingine za mwili wake haoni haja ya kukuhifadhia?
 
Jamaa Kaopoa dada poa halafu anajilengesha lengesha ngoja alizwe ndiyo atajua kabeba gunia la misumari
Ndo hawa wanaofungua nyuzi za kuchapiwa. Unakaaje na mwanamke sehemu zingine za mwili wake haoni haja ya kukuhifadhia?
 
Uzi huu uliingiaje wakati sheria inasema pasipo picha ni umbeya kama umbeya mwingine
 
Salamu kwenu members

Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana maadili na nimekuwa nikimshauri Mara kwa Mara anakuwa anakasirika na anasema anakuwa comfortable akiwa na hayo mavazi kuliko nguo zingine na ananiambia mbona yeye aniingilii me tabia yangu ya kupenda mpira.yaani kunakuaga na timbili kwel kwel hasa nikigusia masuala ya mavazi yake. kwa maeneo mengine yupo vizuri ila kwenye mavazi yake ndio mtihani

Kuna siku moja alinita tukutane off course nikaenda siku hiyo ilikuwa yeye ndo amenitoa out siku hiyo alivaa Kama kawaida yake yaani ukiwa unatuangalia utazani nimechukua kahaba tunaenda kuchukua guest na ukiangalia muonekano wangu ni wa upole,mstaharabu na mtaratibu yaani wanashangaa Sana mpenzi wangu kiukwel hiki kitu kinakera Sana na mtu mwenyewe ukimuonya hata asikii kwa mambo mengine atakuelewa lakini si kwenye mavazi.

Mavazi anayovaa hayafanani kabisa na tabia yake no vitu viwili tofauti

NAOMBENI USHAURI

Nduguzanguni nishaurini nifanyaje ili aache hi tabia yake yakuvaa mavazi yasio na maadili na amini baadhi yenu mtakuwa na ujuzi kuhusu hili.

Waswahili wanasema "Ndege wanaofanana huruka pamoja." Kama una akili utaelewa ninachozungumzia hapa.
 
Ataacha usiwe na wasiwasi japo si Leo wala kesho ila ataacha, sasa hivi navaa Madera na bonge la ushingi dunia hii ! uso huuoni, mwanzoni hata ndugu walikuwa wananiuliza "Naiman unatatizo gani hadi unavaa hivi?' Naishia kucheka tu nashukuru wamenizoa, oa huyo binti kama kweli unampenda
Salamu kwenu members

Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana maadili na nimekuwa nikimshauri Mara kwa Mara anakuwa anakasirika na anasema anakuwa comfortable akiwa na hayo mavazi kuliko nguo zingine na ananiambia mbona yeye aniingilii me tabia yangu ya kupenda mpira.yaani kunakuaga na timbili kwel kwel hasa nikigusia masuala ya mavazi yake. kwa maeneo mengine yupo vizuri ila kwenye mavazi yake ndio mtihani

Kuna siku moja alinita tukutane off course nikaenda siku hiyo ilikuwa yeye ndo amenitoa out siku hiyo alivaa Kama kawaida yake yaani ukiwa unatuangalia utazani nimechukua kahaba tunaenda kuchukua guest na ukiangalia muonekano wangu ni wa upole,mstaharabu na mtaratibu yaani wanashangaa Sana mpenzi wangu kiukwel hiki kitu kinakera Sana na mtu mwenyewe ukimuonya hata asikii kwa mambo mengine atakuelewa lakini si kwenye mavazi.

Mavazi anayovaa hayafanani kabisa na tabia yake no vitu viwili tofauti

NAOMBENI USHAURI

Nduguzanguni nishaurini nifanyaje ili aache hi tabia yake yakuvaa mavazi yasio na maadili na amini baadhi yenu mtakuwa na ujuzi kuhusu hili.
 
Mkuu kama huyo binti ni 18+ amini hata wazazi wake wameshindwa kumbadilisha. Ni ashakua sugu... . Utapasua kichwa chako bure piga usepe..
Maana hayo mavazi ni ya kutega wanaume... Ana karibisha na wengine pia wajipigie...
Hapana usimuhukumu mtu kwa mavazi, Wallahi nakuapia wengi walionihukumu Kwa mavazi yangu baadhi waliniomba.msamaha baada ya.kuwa nao karibu na kunijua nikoje. Taratibu ataacha labda awe na sababu zingine za yeye kuvaa hivyo
 
Pole sana...

Ushauri ni nunua gari weka tinted kali...

kwenye gari hata akikaa uchi hakuna anayemuona...

Cc: mahondaw
 
Demu anakushindaje, Piga mkwara mzito kama haelewi na inakukera kumvumilia achaneni tu atakuwa hakupendi huyo. Ila mwanamke anayekupenda na unauhakika anakupenda sometime mpeleke kidikteta tu
 
Mimi nikajua una attach na picha yake ili tupate pa kuanzia mkuu
 
Hapana usimuhukumu mtu kwa mavazi, Wallahi nakuapia wengi walionihukumu Kwa mavazi yangu baadhi waliniomba.msamaha baada ya.kuwa nao karibu na kunijua nikoje. Taratibu ataacha labda awe na sababu zingine za yeye kuvaa hivyo
Nimekupata dada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom