Nampenda tatizo ni hili

Nampenda tatizo ni hili

Jf nisawa na garage ukiona unaanza kuomba ushauri wakati wa uchumba, mala washauri ambao ni spana jua mkioana mtaamia kabisa garage ili kuepuka usumbufu wa kuomba spana. Hakikisha mnakubariana aina ya maisha mtakayoishi kabla hamjaoana na kuachana.
 
Mle Tigo ataanza kukusikiliza tu..
Pia sema anafanya shughuri gani,maybe ndo zinamforce kuvaa hivyo..pia jiulize katoka katika familia gani!?, malezi pia hluchangia maybe kama hakuvaa huko nyuma now analipishia aa ulombukeni,mimi now nalia nijue ni Kabila gani ilo nijiepushe now maana nampango wakuoa 2023...
Over..
Nasisistiza mle 💩 ..lazma atakueshim
 
Kwenye tabia yake Sina tatizo nae cos kabla sijawa na uhusiano tulikuwa marafiki so namfahamu vizuri atawakati namtongoza aikuwa rahisi kukubali haraka alinipa jibu la ndio baada ya wiki tatu na before ya hapo aliwakataa wanaume Kama wanne ambao ninawajua ila me ndio nikapata bahati yakukubaliwa.Ni mwanamke Safi Sana anajua kumjari mwanaume alafu sio mjuaji ukiachana tu na tabia yake ya kuvaa hayo mavazi
Una matatizo sana, unaonekana huna uzoefu na mapenzi, kwanza uliposema tu ananipenda na mimi nampenda nikapata mashaka
Unajuaje kama anakupenda?
 
Salamu kwenu members

Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana maadili na nimekuwa nikimshauri Mara kwa Mara anakuwa anakasirika na anasema anakuwa comfortable akiwa na hayo mavazi kuliko nguo zingine na ananiambia mbona yeye aniingilii me tabia yangu ya kupenda mpira.yaani kunakuaga na timbili kwel kwel hasa nikigusia masuala ya mavazi yake. kwa maeneo mengine yupo vizuri ila kwenye mavazi yake ndio mtihani

Kuna siku moja alinita tukutane off course nikaenda siku hiyo ilikuwa yeye ndo amenitoa out siku hiyo alivaa Kama kawaida yake yaani ukiwa unatuangalia utazani nimechukua kahaba tunaenda kuchukua guest na ukiangalia muonekano wangu ni wa upole,mstaharabu na mtaratibu yaani wanashangaa Sana mpenzi wangu kiukwel hiki kitu kinakera Sana na mtu mwenyewe ukimuonya hata asikii kwa mambo mengine atakuelewa lakini si kwenye mavazi.

Mavazi anayovaa hayafanani kabisa na tabia yake no vitu viwili tofauti

NAOMBENI USHAURI

Nduguzanguni nishaurini nifanyaje ili aache hi tabia yake yakuvaa mavazi yasio na maadili na amini baadhi yenu mtakuwa na ujuzi kuhusu hili.
Kama anavaa kama yna2 hafai
1255D492-9A78-4D21-8394-411DA866A230.png
 
Kwenye tabia yake Sina tatizo nae cos kabla sijawa na uhusiano tulikuwa marafiki so namfahamu vizuri atawakati namtongoza aikuwa rahisi kukubali haraka alinipa jibu la ndio baada ya wiki tatu na before ya hapo aliwakataa wanaume Kama wanne ambao ninawajua ila me ndio nikapata bahati yakukubaliwa.Ni mwanamke Safi Sana anajua kumjari mwanaume alafu sio mjuaji ukiachana tu na tabia yake ya kuvaa hayo mavazi
Sasa kama unachoambiwa hautaki unataka kuambiwa Nini?
 
Salamu kwenu members

Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana maadili na nimekuwa nikimshauri Mara kwa Mara anakuwa anakasirika na anasema anakuwa comfortable akiwa na hayo mavazi kuliko nguo zingine na ananiambia mbona yeye aniingilii me tabia yangu ya kupenda mpira.yaani kunakuaga na timbili kwel kwel hasa nikigusia masuala ya mavazi yake. kwa maeneo mengine yupo vizuri ila kwenye mavazi yake ndio mtihani

Kuna siku moja alinita tukutane off course nikaenda siku hiyo ilikuwa yeye ndo amenitoa out siku hiyo alivaa Kama kawaida yake yaani ukiwa unatuangalia utazani nimechukua kahaba tunaenda kuchukua guest na ukiangalia muonekano wangu ni wa upole,mstaharabu na mtaratibu yaani wanashangaa Sana mpenzi wangu kiukwel hiki kitu kinakera Sana na mtu mwenyewe ukimuonya hata asikii kwa mambo mengine atakuelewa lakini si kwenye mavazi.

Mavazi anayovaa hayafanani kabisa na tabia yake no vitu viwili tofauti

NAOMBENI USHAURI

Nduguzanguni nishaurini nifanyaje ili aache hi tabia yake yakuvaa mavazi yasio na maadili na amini baadhi yenu mtakuwa na ujuzi kuhusu hili.
Jeulijaribu kumnunulia nguo za stara akaacha kuvaaa nenda nae taratibu tafuta cku nenda dukani mnunulie nguo unazopenda kila wk fanya hivyo
 
Dem anapenda mabraza man, wanyamwezi we muache atalizwa sas hiv
Nimekuelewa kama mtoa uzi hajaelewa basi atasubiri sana. Haiwezekani mavazi yasiendane na tabia maandiko yanasema "litokalo mdomoni utengenezwa katika moyo" mdomo utumika kama spika tu.

Naamini uyo binti ana vitabia ambavyo wewe hujavigundua lakini pia hajaridhika na wewe bado anatafuta akimpata anayemfaa atakuweka pembeni, apo ndipo kutakuwa na kilio cha kusaga meno.
 
Kama ni muaminifu anakujali shida ya nini muache afanye vile moyo unapenda usisikilize watu watu ni wanafki.. Fakeni homo sapien

Bora pombe kuliko watu
fakeni mambepe mwenyewe. bora watu kuliko hiyo mitungi bana, mambo mlevi sugu 1
 
Kama mambo mengine yuko vizuri ,basi si mbaya sana hilo suala LA mavazi mtaendeleana kubadilishana taratibu, ila kama inakukera to the extent huwezi vumilia basi maamuzi ni yako

Be careful unaweza muacha huyo sababu ya mavazi ukapata mwenye nguo ndefuu ila ndani mambo mengine hovyo kabisa
 
Mavazi yasikuumize Sana kikubwa tabia na vile mlivyoshibana..muda utafika atayaacha tu,hakuna marefu yasiyo ncha.
Unawatoa watu udenda sana na hiyo avantary yako
 
Pombe zangu haziwezi kuwa mambo ya ajabu ndo rafiki wa kweli sio hawa hairless ape called themselves human.. Selfish creature

Yap natumia kiasi hcho ila sio kila siku nalewa ila kila siku lazima ninywe
mambo ya ajabu ni hizo pombe zako ujue, hivi ni kweli unatumia kiasi hicho?(sana)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom