Nampenda tatizo ni hili

Nampenda tatizo ni hili

Kama nawe unavaa hivyo, unless huna usajili wa kudumu! Unawakwaza akina innocent dependent maana kwetu wanaume utembee na ntu kavaa hivyo unaambiwa ‘Tuli kuona umeongizana na changu’


Nina usajili wa kudumu..babybaba Hana tabu kabisa na Hilo vazi.

Inno ajitahidi tu kumbadilishi mtu wake.
 
Mwenye tabia njema lazima atakuwa na heshima kwenye mavazi Pia, wewe huyo chui wako aliyejivika ukondooo ipo siku utajuta kumfahamu
 
Mavazi ni kielelezo cha tabia
Salamu kwenu members

Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana maadili na nimekuwa nikimshauri Mara kwa Mara anakuwa anakasirika na anasema anakuwa comfortable akiwa na hayo mavazi kuliko nguo zingine na ananiambia mbona yeye aniingilii me tabia yangu ya kupenda mpira.yaani kunakuaga na timbili kwel kwel hasa nikigusia masuala ya mavazi yake. kwa maeneo mengine yupo vizuri ila kwenye mavazi yake ndio mtihani

Kuna siku moja alinita tukutane off course nikaenda siku hiyo ilikuwa yeye ndo amenitoa out siku hiyo alivaa Kama kawaida yake yaani ukiwa unatuangalia utazani nimechukua kahaba tunaenda kuchukua guest na ukiangalia muonekano wangu ni wa upole,mstaharabu na mtaratibu yaani wanashangaa Sana mpenzi wangu kiukwel hiki kitu kinakera Sana na mtu mwenyewe ukimuonya hata asikii kwa mambo mengine atakuelewa lakini si kwenye mavazi.

Mavazi anayovaa hayafanani kabisa na tabia yake no vitu viwili tofauti


NAOMBENI USHAURI

Nduguzanguni nishaurini nifanyaje ili aache hi tabia yake yakuvaa mavazi yasio na maadili na amini baadhi yenu mtakuwa na ujuzi kuhusu hili.
 
Kama mambo mengine yuko vizuri ,basi si mbaya sana hilo suala LA mavazi mtaendeleana kubadilishana taratibu, ila kama inakukera to the extent huwezi vumilia basi maamuzi ni yako

Be careful unaweza muacha huyo sababu ya mavazi ukapata mwenye nguo ndefuu ila ndani mambo mengine hovyo kabisa
Sio kwamba nataka kumwacha ila tu nataka suala la kuvaa mavazi ya hovyo aache ndo maana nikaomba ushauri wenu.
 
Mwenye tabia njema lazima atakuwa na heshima kwenye mavazi Pia, wewe huyo chui wako aliyejivika ukondooo ipo siku utajuta kumfahamu
Mkuu yna2 ona comment ya mwenye usajili wa kudumu ambapo yupo simba miaka 15 na nusu hata siku moja haijawahi ingia akilini mwake kuhamia yanga
 


Hilo vazi tu mkuu
Hata hivo Hilo vazi sio baya ila anavyovaa mpenzi wangu ndo shida yaani unakuta kavaa top sijui ndo wanavyoita tumbo lote wazi,kimini kimembana na fupi Sana.
 


Nina usajili wa kudumu..babybaba Hana tabu kabisa na Hilo vazi.

Inno ajitahidi tu kumbadilishi mtu wake.
Hivi na huyu unadhani uvaaji wake hauna walakini?
7462BC54-37D5-4889-9CDB-F75358362A40.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom