Nampenda tatizo ni hili

Nampenda tatizo ni hili

Kwahiyo hupendi mavazi yake kwa sababu unaona hayapendezi machoni kwa wengine?
Mahusiani ni ya nyie wawili achana na wengine wanachokiona kisa mavazi yake
 
Hata kwenye ishu ya kuoa,mwanamke anatakiwa akusikilize ushauri unaompa..

Sasa hamjaona na hakusikilizi..

Ukimuoa itakuaje.?
 
Inaonekana ata mizinga anayokupiga anaenda kununua nguo ili apendeze dem wko anapenda sana kuvaa, vp kuhusu vgodolo haendagi
Huwez badl tabia ya mtu naamin icho so make choices ur self
Kiufupi anapenda uzungu Fulani ila Hana hayo mambo ya vigodolo kuhusu mizinga Wala hanipi ila Ninaweza kumpa me kwa kupenda,mbona ananitoaga out sometime.kiufupi mahusiano yetu yapo win win situation
 
Hata kwenye ishu ya kuoa,mwanamke anatakiwa akusikilize ushauri unaompa..

Sasa hamjaona na hakusikilizi..

Ukimuoa itakuaje.?
Kama nilivyokuwambia Hana tabia mbaya nimeanza kuwa nae urafiki before ya uhusiano so namjua vizuri Sana na vitu vyake vingi
 
Embu weka picha yake tuone anavyovaa sisi wengine wazungu hapa. Tunaweza tusijue tamaduni zenu za mavazi zikoje.
 
Suala la mavazi ni malezi na mapenzi ya mtu juu ya mavazi yale, heshima unayoisemea kutokuwepo labda wengine wanaiona kawaida sana, ustaharabu wako unaousemea uko kwenye nn labda au masuruali mapana km mifuko ya mashine, labda manguo makubwa makubwa km ya snop dog sasa mwenzio akienda na fashon unamuona km kapotea flan 😀 😛😛😛😛😛
 
As long as yupo vizuri, kwenye aspects nyingine. Just endelea tu kuwa naye....

Hiyo tabia ya mavazi, slow slow itaenda kupotea kadili ya anavyokuwa.....so be patient chief.

Worry out!
 
Mavazi yasikuumize Sana kikubwa tabia na vile mlivyoshibana..muda utafika atayaacha tu,hakuna marefu yasiyo ncha.
Afu km anampenda ampe muda itafikia mahali watafanana wataendana vile anataka, saivi bado ni mtoto wa watu ajamuoa adi ampangie mavazi
 
Haiwezekani, nasema haiwezekani tabia na mavazi visiendaneTunavaa kutoka ndani ya nafsi zetu.
It’s an alert ni muda tu utaongea!!
Nimekuelewa kama mtoa uzi hajaelewa basi atasubiri sana. Haiwezekani mavazi yasiendane na tabia maandiko yanasema "litokalo mdomoni utengenezwa katika moyo" mdomo utumika kama spika tu.

Naamini uyo binti ana vitabia ambavyo wewe hujavigundua lakini pia hajaridhika na wewe bado anatafuta akimpata anayemfaa atakuweka pembeni, apo ndipo kutakuwa na kilio cha kusaga meno.
 
mbona wewe unawakodolea sana mpaka shingo inakata kisa wavaa uchi japo una mchumba .

wacha avae uchi ili kusitisha macho yako kwa makahaba.

sainginemnakwama wapi. yaani unataka bint wa watu hata hujamuoa eti avae kizee na ukimuoa atavaaje?

msipende kuwa too limitation wakati sio waoaji.
 
Women are smart mkuu,don't give your trust 100% kwake..

Usije ukazimia au kupoteza maisha kabisa ukigundua upande wake wa pili..(jiulize kama wewe hupendi vinguo anavyoviaa je anamvalia nani)

Yani unatakiwa uelewe kuwa mwanamke anatakiwa akusikilize sana kwa ushauri(mzuri)unao mpa

Mwanamke anaekupenda lazima akusikilize.
Kama nilivyokuwambia Hana tabia mbaya nimeanza kuwa nae urafiki before ya uhusiano so namjua vizuri Sana na vitu vyake vingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom