Nampenda tatizo ni hili

Nampenda tatizo ni hili

naona mkuu kashaanza kuvutwa na upepo wa kisulisuri, unakutoa masharik unataka ukupeleke kusini
 
PIGA MIMBA KADRI YA UWEZAVYO, USICHOKE KAMA UNAMPENDA MOYONI NA NI MZURI. NA ULE;

1.PWEZA MCHEMSHO ASIYE PIKWA SAANA

2.NYANYA MBICHI

3.ASALI YA NYUKI WEUSI

4.USIGONGE MADEM HOVYO KWA SASA, UKIWA UNAISHI NAYE.utaichosha.

5.KUWA BUSY KUTAFUTA PESA,ILI KUPUNGUZA MUDA WA KUKAA NAYE.

6.UPENDO WA SURPRISE MPE SANA.

7.USIBADILIKE KITABIA KWA SASA MPAKA AFIKISHE WATOTO 6 HIVI.

8.WAPENDE SANA WATOTO HAO KUMPITA YEYE. kidogo tu wanangu miyeee! oooh! wasomee! waleeee!. wajulie hali hata ukiwa ofisini

9.WAJALI MARAFIKI ZAKE WA KIKE WAPE OFFER NA WAKARIBISHE X-MASS NA MWAKA MPYA.

10.WAPENDE SHEMEJI ZAKO WA KIKE BUT USIFANYANE NAO, HATA WAKIKUBAKA JIZIMISHE.
 
Watu wanawezaje kuvaa vitu vinavyomfanya baby asiwe comfortable? Wakati mwingine mavazi yanavunja mahusiano pia yanapunguza mvuto.Siwezi kukaa nabishana na babe daily kisa mavazi naamini kila kitu nikivaa napendeza
 
Kuna msemo fluni wa Kijerumani unasema ukitka nikwambia wewe ulivyo basi nifungulie kabati lako la nguo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom