Namlilia Julius Mtatiro...

Namlilia Julius Mtatiro...

Mtatiro ana papara na jazba, ni mkururpukaji, hafai kwa lolote...anajaribu kutafuta umaarufu kwa nguvu tokea huko UDSM. huko CUF aliko panamtosha.

Umeongea point mkuu. Me nlishawahi kusema hayahaya humu jamvini. Mtu mwenye jaziba na kukurupuka hafai kuwa kiongozi. Kiongozi bora huongozwa na busara na hekima.
 
Muulize Ziito kabwe , Alberto Msando na wengineo tuliokuwepo Ud during 2000S mtatiro was not there

Me nlisoma nae mkuu. Ni miaka ya 2004/7. Alishawah kuwa waziri wa mikopo, waziri mkuu na kinara wa migomo isiyokuwa na tija.
 
.........Mtatiro matokeo ya Igunga yanaonyesha kufa kwa CUF...naendelea kukulilia kaka!!
 
Huyu bwana baada ya kumaliza chuo akiwa ni mtu popular sana, akawafuata chadema na kutaka apewe nafasi, hilo likakataliwa vikali na uongozi wa Chadema kwani kuna vijana wengi waaminifu ambao wangeweza kupewa nafasi na hawana hizo nafasi!!! Akaambiwa atulie nafasi atapata sawa sawa na kujishughulisha kwako!!! Kumbe ndo walikuwa wanampa ticket ya kwenda CUF..... na sasa anaangamia pale alipo!!! Akapandikizwa agombee Ubunge jimbo la Ubungo ili apunguze kura za Mh. Mnyika sababu alikuwa anajulikana sana chuo, hilo halikuweza kafanikiwa!!! Kifupi nilikuwa namkubali sana huyu Jamaa, lakini saivi akisimama kuongea huwa naona kama Kikwete anaongea!!! Yaani cmkubali hata...
 
Julius Mtatiro. Heshima kwako kaka yangu. Pengine ni mtizamo wangu tu. Labda nimepotoka. Vyovyote iwavyo. Lakini kwa muda mfupi niliokaa karibu na wewe. Kwa namna nilivyouona msimamo wako na mapenzi yako kwa Watanzania. Nikisikia uko CUF. Na nikifuatilia michango ya wabunge wa CUF bungeni kuhusu suala la Katiba. Naweza pata picha kuwa weledi wako upo katika majaribu makubwa. Nasubiri maoni yako.
 
acheni kumsakama bure mpiganaji huyu, alishajieleza vizuri sana kwenye ile thread ya awali.
 
Labda naye analinda ndoa. Ndoa ni kuvumiliana kati ya mume na mke, hata kama katiba mpya anaitaka atafanyeje wakati mzee amegoma. Mtatiro ni memba humu, tupe msimamo wako. Wewe ni muungwana huwezi kukana ID yako kama yule jamaa wa magamba eni ei pi e.
 
kama n i jaribu analo kubwa, na kama ni kiongozi maslahi hawezi kufikiria lolote zaidi ya posho, otherwise tutasikia tamko lake lenye mashiko au uamuzi mgumu anaoweza kuchukua.
 
Tatizo watu wengine wakiambiwa ukweli wanadhani ni kusakamwa. Hata siku ya kufaniwa operation maumivu ni makali sana ila ndio dawa yenyewe. Mtatiro anatakiwa atoke huko CUF
 
acheni kumsakama bure mpiganaji huyu, alishajieleza vizuri sana kwenye ile thread ya awali.

Tunaomba atoe msimamo wake wakati huu wabunge wa chama chake wanapoonesha unafiki wa wazi wazi kwa Watanganyika.
 
acheni kumsakama bure mpiganaji huyu, alishajieleza vizuri sana kwenye ile thread ya awali.

Sidhani kama ni kumsakama,, ni kujadiliana,ni member humu acha tumsikie mwenyewe, usimjibie tafadhali
 
Julius Mtatiro. Heshima kwako kaka yangu. Pengine ni mtizamo wangu tu. Labda nimepotoka. Vyovyote iwavyo. Lakini kwa muda mfupi niliokaa karibu na wewe. Kwa namna nilivyouona msimamo wako na mapenzi yako kwa Watanzania. Nikisikia uko CUF. Na nikifuatilia michango ya wabunge wa CUF bungeni kuhusu suala la Katiba. Naweza pata picha kuwa weledi wako upo katika majaribu makubwa. Nasubiri maoni yako.

Moja ya masharti, ingawa sio lazima, ya ndoa kwa wenza ni marufuku ya mwenza kutovaa chupi siku ya ratiba. Ktk hili la siasa za Tanzania, CUF wamelazimika muda wote 'kulala bila underwear' ktk kitanda kimoja na CCM. Kwa kweli tunasubiria tu mtoto atakayezaliwa na ndoa hii. Maana kwa hali ilivyo sasa CUF ni kama tayari ina 'ujauzito' na mhusika mkuu wa huo 'ujauzito' ni CCM
 
Katika siasa hakuna kitu kibaya kama kuwa kwenye chama ambacho huamini itakadi yake. Sidhani kama Itatiro anaiamni itikadi ya CUF. Karibu dimbani tutakutafuti cheo chadema kama ndilo tatizo lako
 
Huyu kamanda amepotoka sana kwani kambi aliyoko inamuangusha.Hata nia nzuri na jitihada alizokuwa nazo zinaonekana ni zero
 
kweli Chadema wapo kama mwanamke malaya kila bwana anamtaka, Cuf ni chuo cha siasa kimetoa viongozi wengi waliokwenda ccm na leo ni viongozi wakubwa, mf. Akwilombe-KATIBU WILAYA NYAMAGANA. DUNGA- KATIBU-KITETO, KINGA-KATIBU KIGOMA MJINI, CUF ni chama tofauti na chadema kina matawi na chadema kina tegemea zaidi maaskofu na mapadri, vinginevyo hamna chama.
 
Tatizo la Mtatiro,hajui kupokea ushauri,aliupinga sana mswada huu,lakini wake wanaukubali,sijui yeye atasemaje.
 
Tuwe wakweli katika hili,Mtatiro ni lazima yuko majaribuni tu kwa sababu he still have a long way to go in a road of politics,kwa yale wanayoyafanya wabunge wao huko bungeni ni aibu tena ambayo hata haisameheki.sasa kwa namna wananchi wanaiona hali hiyo na kwa Julius anachokipigania wala havindi sawa,ila kama ni kiongozi wa tumbo lake bado hatakuwa na wakati mgumu wala hatachukua uamuzi mgumu.lakini kama ni mpigania haki ilivyokuwa tangu UDSM basi kwa matendo ya wabunge wa CUF huko Dodoma Mtatiro hatakuwa na maisha marefu ya kisiasa kama ataendelea kubaki CCM B-CUF
 
Alipinga sana kuwa cuf kuitwa ccm B ni propaganda. Majibu aliyapata Igunga maana mtaji uligeuka hasara, hili la muswada wa katiba nalo ndilo linamdidimiza kabisa, hata akija kusema chochote, atasema nini mtu makini amuelewe?
He is looser let him rest in peace.
 
Mtatiro ondoka kwa hao wateja wa Brown nenda ujiunge na vyama makini ili uifanyie kazi vision yako huko Kafu unapoteza muda na utatokomea kisiasa.
 
Kama si wa GUNGU type wewe, sijui?

Back
Top Bottom