Nimekuwa nikifikiria juu ya vijana ambao walikuwa ni wanamapinduzi wakubwa pale UDSM miaka ya hii ya 2000s...
Moja wa vijana hao ni Julius Mtatiro ambaye kwasasa anakitumikia chama cha CUF....
Naandika haya nikijua kuwa tumepoteza potential iliyokuwa ni manufaa makubwa kwa Taifa, kaingia chama kisicho na muelekeo, majungu kama taarabu ni kawaida yao.
Napenda kuwaomba wanaJF ambao mna ukaribu na huyu jamaa tumrudishe kundini haraka kabla ajaangamia milele...
Matope kweli wewe unafikiri kila mkristo lazima awe cdm na kila muislam awe CUF
Mtatiro is above religious interest as you do!...
Nyie ndio wale akili matope waliko cdm..unafikri ki-waraka waraka