Adrian Stepp
R I P
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,600
Wataalam wa mambo wanasema "Ukistaajabu ya Pinda utayaona ya makinda"CUF inasadikiwa kuwa ni CCM B kwa matendo yake na wala si kinadharia!kuiita CHADEMA CCM A ni utabiri wa haria ya hewa!
Wataalam wa mambo wanasema "Ukistaajabu ya Pinda utayaona ya makinda"CUF inasadikiwa kuwa ni CCM B kwa matendo yake na wala si kinadharia!kuiita CHADEMA CCM A ni utabiri wa haria ya hewa!
Kwa hiyo yeye Mtatiro alipoanzisha maandamano pale Buguruni kwenda Ikulu kupeleka rasimu ya katiba ya CUF, alikuwa anaenda ili CUF iwe CCM gani zaidi ya hiyo 'B' ?
eeeh kweli uhu ni mgongo wa paka, maelezo yako hayana mashiko zaidi ni ushabiki tu, kimekuuma chadema kwenda ikulu kumuona jk, ukumbuki walisema lengo ni kutafuta muafaka juu ya suala la mgogoro uliopo wa katiba? Kweli mgongo wa paka uko karibu na masabuli ya paka, ata hoja zako ni from masabuli ya pakainashangaza hawa walisusa hotuba ya rais na kutomtambua rais kwa nguvu ya soda yani kwa maneno tu. Leo wamenogewa mpaka wana mbembeleza mume walo mkataa kabisa eti wao wanaandika barua wenyewe ya uchumba nakumbembeleza awakubalie kuwaoa. Nakama si hivyo mbowe na slaa wanataka walau wakanyage ikulu kabla hawajafa maana walichokitarajia kuingia ikulu hata kwa lazima na kwa njama kushindwa wametafuta vijisababu ilimradi wa kanyage ikulu na kula bata ama ugali wa ikulu.
wewe mtoto, you are too young, ebu acha mdomo, utatuudhi, moderator ebu ka ban akakatoto, tupunguze contribution za wanaotumia masab.... Kwani wanatuchefuapengine anaona wivu chadema inakuwa nyumba ndogo ya ccm.
Wataalam wa mambo wanasema "Ukistaajabu ya Pinda utayaona ya makinda"
eeeh kweli uhu ni mgongo wa paka, maelezo yako hayana mashiko zaidi ni ushabiki tu, kimekuuma chadema kwenda ikulu kumuona jk, ukumbuki walisema lengo ni kutafuta muafaka juu ya suala la mgogoro uliopo wa katiba? Kweli mgongo wa paka uko karibu na masabuli ya paka, ata hoja zako ni from masabuli ya paka

u r so correct, imekaa pia imesomeka vizuritoka cuf washindwe vibaya huko igunga, hawa jamaa hawajiamini tena katika siasa za bara. Labda wakajaribu tena huko visiwani.