Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Mtusamehe jamani[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119], sasa mtu unapendwa tu na wanawake hata nane,nguvu ya kuhonga hela unapata wapi? Unawadanga tu [emoji23][emoji23],na hela ya kubeti wanakupa wenyewe,we unawapangia ratiba ya mgegedo tu.na hatufanyagi makosa tunanyonya viungo vyote vya mwili.show..show...lazima mwanamke alete hela.yeye anakuwa anakuhitaji zaidi ya wewe unavyomuhitaji.. why bother...?
Hehehehehe.
Duh....men anakuja ananukia uturi balaa ..dah...mie siez
 
Asilimia kubwa wanaume ma-handsome utafutaji upo chini. Huwa wanaangalia kazi zinazoendana na muonekano wao.

Wa aina hiyo akiona mwana mwengine HB utashangaa anakuchukia tu! Hususani akikuona upo cool na wana unapiga kazi huna issue za kishamba na mapigo yale ya wasanii wabana pua halafu unapesa ile siyo sana ila nayo inakuweka kwenye hadhi unayo, utashangaa anakuchukia tu!

Ajabu jina jengine utakalopewa na wana ni mtoto wa mama anajifanya mbishi. Nikiwa bata naenda sehemu yenye hadhi kiasi kwa sababu napenda ustaarabu na kawaida yangu sina shobo na mtu wa aina yoyote. Nakaa peke yangu, nafanya ya kwangu nasepa kivyangu. Ila ni mwana ambaye ni bonge la mshikaji.

Ila sijui ni kwa nini wananiita HB tangu nikiwa shule ya msingi mpaka Chuo.
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Vice versa true, wanawake wabaya wakawaida wana hela mbaya kabisa, na wanaume zao ni mahandsome
 
Wakuuu, Nauliza Kwa nini wanaume mahandsome hawana Hela? Maaana niko Baar hapa meza zimechafuka wanaume wako na mapc hatariii Lakini wanaume wabayaaaaa?
Wanawake wabaya wana hela na wanawachukua wanaume handsome equation is balanced
 
Back
Top Bottom