Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
457
1,973
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
 
Tafuta sura Ya Kazi ule maisha Ndugu, binadam huishi Mara moja tu, achana na sura Ndugu haya maisha yana raha yake
e
Nisaidie..chachu Chachu ndo mwake baalaa..wanaume wabaya hata kudance huwa hawajui maskini ya Mungu..tofauti na hao wazuri .kila bang yumo😅😅! Ukisikia alofiwa na mkewe nipachike aisee. .tuwekane mjini😋
 
Back
Top Bottom