Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

We kama umekutana na bwana wako mwanaume wa kinondoni akiamka asbuhi anapaka mafuta kwenye matako mwambie aendelee sisi tunatafta hela kwa niaba yake
Haya maneno mnayatoaga wapi lakini😂😂😂😂
 
Binafsi siwezi sema ni handsome sana wala mbaya wa sura. Niko wastani. Ila brother wangu yeye ni handsome balaa na alikuwa anafukuzwa na mademu tokea akiwa mdogo.
Nina hela sana sana kumzidi. Kutojihusisha na wapenzi kwa muda mrefu, kulinipa muda wa kupambania maisha.
Pia ukiwa unagombaniwa na mademu motisha unapungua sababu unaona u-handsome unatosha. Sasa wengine ni hela ndio imeleta mademu wengi, hivyo unapata motisha wa kupambana na kufanikiwa zaidi.
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Ungejiuliza pia kwanini wanawake wenye makalio makubwa au sura nzuri wanatafunwa na kila mtu
 
Sikujua kumbe na wewe una kipaji cha kuimba taarab. Ngoja nikuunganishe na Mzee Yusuf ukakoleze kipaji chako.

Ila hakuna chemistry nzuri kama ya mwanaume mwenye sura kavu akutane na mwanamke kisura lakini anakalia mifupa...

Wakikdansi utadhani Fiat inavutwa na Passo.
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Pole wewe unamaintain uhb ili upapatikiwe na wanawake
Ni bonge la HB la kisukuma,sina time na wanawake wala nini ,nina ndoa ina miaka 10,niliwahi kuteleza kuchepuka miaka 7 imepita,hayo maisha niliishi miaka 15 iliyopita.siko unavyodhani..
 
Back
Top Bottom