Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
hata wewe inaonekana una mapaja manene lakini tako huna
 
Wanaume handsome wapo chali angu, maisha magumu ni kwako tu usijumuishe na wengine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmmh!yaani ukiwa handsome sana mgeni akija nyumbani anaweza kuita mama Careen[emoji23][emoji23]
 
😀😀Pisi Kali huna hata account bank💃💃
kuwa na bank account sio big deal. The big deal is how much money is tamed in that bank account. 😋
Bank account unaweza kuwa nazo hata 10 ila sasa je zina kiasi gani. Maana account siku hiz ukiwa na Tsh.10K inatosha kufungua 😉
 
Woow mama! Enough about you, lets talk about me, Johnny Bravo!

Huyu mwana alikuwa ni shida na misemo yake kwa wanawake.
[emoji1][emoji1][emoji1]... Dahh aisee huyu jamaa alikiwa anajua sana kucheza na maneno kwenye mtongozo Ila ndo alikuwa hana bahati kabisaa...
 
Hehehehehe.
Duh....men anakuja ananukia uturi balaa ..dah...mie siez
jama! jama! jama! 😂😂😂😂🙌🏾 Utanifanya nikufate inbox bureee tuyajenge.. Umeponda Raba zangu Nyeupe, Umeponda tabia yangu ya kujicheki kwenye Kioo na sasa hivi unaponda Uturi wangu.😂😂
Nisamehee aisee usiendelee kutoa siri zangu. Nisitiri mwenzio. Kuachana sio Uadui. Bado nakupenda aisee.😍
Sikujua kama unapenda harufu ya kikwapa kwapa (harufu ya beberu)
 
jama! jama! jama! 😂😂😂😂🙌🏾 Utanifanya nikufate inbox bureee tuyajenge.. Umeponda raba zangu nyeupe, umeponda nikicheki kwenye Kioo na sasa hivi unaponda Uturi wangu.😂😂
Nisamehee aisee usiendelee kutoa siri zangu. Nisitiri mwenzio. Kuachana sio Uadui. Bado nakupenda aisee.
Sikujua kama unapenda harufu ya kikwapa kwapa (kama harufu ya beberu)

Sijui lakini kwa wengine...mwanaume kujinyunyiza mauturi Dah mm jaman sipend .Raha mwanaume awe na kale kaharufu kake ka asili weeeee🤸🤸🤸🤸..Kama ana kikwapa bas aishie kwenye deodorant Basi!
Naona Leo ni siku yenu kufua maraba yenu hayo meupe😀😀!
Mie ni mgonjwa wa "loafers" aisee!
 
Raba bado safi. Nimezivaa Jana tu, Nitazifua kesho.
Raba nyeupe ina raha yake mguuni. Hasa ikiwa ni Adidas au Nike AirJordan au Nike Airfoce. 🤾🏽‍♂️
 
kumbe deodorant unapenda... Nikajua nayo hupendi nikipuliza. Unataka mwanaume natural kama misitu. Harufu ya Kwapa kwapa.
Mwisho utasema hata Mswaki asipige (asiswaki)..
Hata akienda kukata gogo aache hivyo hivyo asinawe... Eeh Team Natural kama misitu..😉
Hata Mafuta asipake akitoka kuoga abaki natural...😂
Unaogopa eeh tukiwa wote nitakuwa nakuibia Lotions zako.
😂😂
 
🙌🙌🙌! Men anapendeza awe na ngozi kavu kwakweli...(Mimi) ndevu huna..hela huna...ngozi lainii kidevu lainiiii chakazi gani sasa!!mwanaume unakuwa na ngozi kavuuu..mikono migumu...unyayo ngumu dadek sema usipasuke tu..muscles Sasa ndo kama zoteeee..hata ukiwa huna pesa ntavumilia tutafundishana tu jinsi ya kutafuta pesa ... We endelea kuchana nyusi tu huko na huku mwanamke wako hata wanja wa lulu.sikumbuki lini kuapply..unaachwa asbh na mapema Sana before jogoo kuwika😀😀!
 
Raba bado safi. Nimezivaa Jana tu, Nitazifua kesho.
Raba nyeupe ina raha yake mguuni. Hasa ikiwa ni Adidas au Nike AirJordan au Nike Airfoce. 🤾🏽‍♂️
Aisee Mimi hapa home naonaga Maraba meupe kero tu...najiuliza huyu mtu akivaa raba nyeupe atakumbuka kweli kutafuta side hustles! Mimi tu hapa navaa raba blown...nikitoka Sana ni mossimo dark blue iweje wewe ujivalishe rangi hizo?Mimi ntamwelewa men anayevaa hivyo lakini ana vyanzo 5vya pesa!.unategemea kamshahara unavaa adidas ili iweje!muone!,😀
 
🙌🙌🙌! Men anapendeza awe na ngozi kavu kwakweli...(Mimi) ndevu huna..hela huna...ngozi lainii kidevu lainiiii chakazi gani sasa!!mwanaume unakuwa na ngozi kavuuu..mikono migumu...unyayo ngumu dadek sema usipasuke tu..muscles Sasa ndo kama zoteeee..hata ukiwa huna pesa ntavumilia tutafundishana tu jinsi ya kutafuta pesa ... We endelea kuchana nyusi tu huko na huku mwanamke wako hata wanja wa lulu.sikumbuki lini kuapply..unaachwa asbh na mapema Sana before jogoo kuwika😀😀!
Unataka mkono mgumu na mkavuuu, Sasa mama nanilii kweli nikikupapasa maungoni kwa kono langu gumu kavu sasa si nitakuacha na alama za michubuko na jeraha.
Au hutaki nikutomase tomase?
 
Back
Top Bottom