Pentiumdualcore
Member
- Sep 9, 2020
- 17
- 22
kwamba hutak migadenlove? Mi ninayo ila pesa ndo kitu ambacho DJokes tu zile mkuu
kwamba hutak migadenlove? Mi ninayo ila pesa ndo kitu ambacho DJokes tu zile mkuu
Hahahha enjoy na pesa zako mkuu...kwamba hutak migadenlove? Mi ninayo ila pesa ndo kitu ambacho D
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌...+mie weusi na uwe na mikono ya misuli+ndevu za kutosha na migadenlov😅😅...nakosaga neno..ntaongea Nini Sasa hapo!?sijui unanimanya!...yaan muda wowote hata ukipata chembe ya Moto unaweza nyanyuliwa nduki mgongoni😅😅
Mwanaume mwenye hela automatic anakufanya ukose kujishongondoa..simu zake zootw ni zamaana tu ..Mara apigiwe simu na madalali kuhusu viwanja...Mara apigiwe simu na benk kumkumbushia check yake Mara aambiwe kesho kutwa Kuna semina Njombe ...yaan Hakawii kukuamnia twende kibaha kuchek kiwanja ukanishauri...Sasa uje kwa ndugu zangu na mimi wale wengine ..akijua mwanamke anahela utasifiwa had kuchwe...kazi kunywa tu na kuparty..ukimchungulia simu yake anabet 😣😣...chini kavaa Raba nyeupeeeeeeeee utadhani ni form six leaver....pyeee...na kipensi kifupi anashindana na Wangari kuonesha mapaja🤣🤣🙌🙌! Ukienda washrooma jamaa unamkuta anajitizama kwa kioo🤸Deals zake Sasa...za kuunga unga unga Sana had kero..mechi zote analazimisha mchek😏😔! Oh hapana Asante jamani bye!
[/QUOTE
Nawajua vyema kabisa..mtu serious huezi vaa raba nyeupe..maana akili yote itakuwa kuziprotect zisichafuke..ujinga huoHahahaa! Unawafahamu vizuri sana vijana wa kubeti na raba nyeupe
Nawajua vyema kabisa..mtu serious huezi vaa raba nyeupe..maana akili yote itakuwa kuziprotect zisichafuke..ujinga huo
Mtusamehe jamani[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119], sasa mtu unapendwa tu na wanawake hata nane,nguvu ya kuhonga hela unapata wapi? Unawadanga tu [emoji23][emoji23],na hela ya kubeti wanakupa wenyewe,we unawapangia ratiba ya mgegedo tu.na hatufanyagi makosa tunanyonya viungo vyote vya mwili.show..show...lazima mwanamke alete hela.yeye anakuwa anakuhitaji zaidi ya wewe unavyomuhitaji.. why bother...?Hahahaa! Unawafahamu vizuri sana vijana wa kubeti na raba nyeupe
Bora ata hao kuna wale wale vibonge sana ukiwa unacheza nao mziki wa taratibu mtu anaeza hisi unasukuma friji
Na wanachambua vizuri wake za watu kitandani vibaya mnooo,wakati msio ma hb mkipambana kuwatafutia wake zenu,wake zenu wanawapelekea mapato huko saloon[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Hawa vijana ni wachambuzi wazuri wa mpira na muda wote unawakuta salon za sinza na kinondoni
Hahahhaahahahaahahahhaah....Umeua mbaya🤣🤣🤣!..Kuutwa kusalimia wanawake..wakihisi kupata zali la kulelewaHawa vijana ni wachambuzi wazuri wa mpira na muda wote unawakuta salon za sinza na kinondoni
Na kuna wengine pia wanawapata wa kuwalea ndiyo maana wanatega mitego yao na Wanawavua vile vile wakinasa kwa Mtego!!Hahahhaahahahaahahahhaah....Umeua mbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!..Kuutwa kusalimia wanawake..wakihisi kupata zali la kulelewa
Ukiona hivyo ujue anakabiliwa na ugonjwa wa upungufu wa chura makalioni...Umetoka peke yako halafu unaonea wivu wenzako na kukandia sura zao, mwanamme pesa tu.... wewe endelea kuwinda hao 'mahendisamu' wako!
Huwezi kupewa kila kitu,wanaopewa hela hawana sura,wanaopewa sura hawana hela,wenye matako makubwa hawaolewi,wenye flat screen wanaolewa.
Kwani na wewe unasunbuliwa na upungufu wa chura makalioni (UCHUMA)?Umeanza kutusengenya🙃..kunywa laga zako Basi unatupa kiu sisi huku ujue