Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌...+mie weusi na uwe na mikono ya misuli+ndevu za kutosha na migadenlov😅😅...nakosaga neno..ntaongea Nini Sasa hapo!?sijui unanimanya!...yaan muda wowote hata ukipata chembe ya Moto unaweza nyanyuliwa nduki mgongoni😅😅

Mwanaume mwenye hela automatic anakufanya ukose kujishongondoa..simu zake zootw ni zamaana tu ..Mara apigiwe simu na madalali kuhusu viwanja...Mara apigiwe simu na benk kumkumbushia check yake Mara aambiwe kesho kutwa Kuna semina Njombe ...yaan Hakawii kukuamnia twende kibaha kuchek kiwanja ukanishauri...Sasa uje kwa ndugu zangu na mimi wale wengine ..akijua mwanamke anahela utasifiwa had kuchwe...kazi kunywa tu na kuparty..ukimchungulia simu yake anabet 😣😣...chini kavaa Raba nyeupeeeeeeeee utadhani ni form six leaver....pyeee...na kipensi kifupi anashindana na Wangari kuonesha mapaja🤣🤣🙌🙌! Ukienda washrooma jamaa unamkuta anajitizama kwa kioo🤸Deals zake Sasa...za kuunga unga unga Sana had kero..mechi zote analazimisha mchek😏😔! Oh hapana Asante jamani bye!
Hahahah kama hali ikiendelea hivi wacha tu ni multiply hussle zangu🤣🤣🤣 simu iwe busy zaidi ili mtoto wangu asije kupata tabu. Hicho kizazi kijacho kinatisha
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Sawa na kujiuliza kwa nini wanawake wengi (majority)warembo na wenye shepu kali huwa hawana akili za darasani
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.

Kwa nini ma cute girl kichwani zero,ila zinazo umia ni sehemu nyeti.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]...+mie weusi na uwe na mikono ya misuli+ndevu za kutosha na migadenlov[emoji28][emoji28]...nakosaga neno..ntaongea Nini Sasa hapo!?sijui unanimanya!...yaan muda wowote hata ukipata chembe ya Moto unaweza nyanyuliwa nduki mgongoni[emoji28][emoji28]

Mwanaume mwenye hela automatic anakufanya ukose kujishongondoa..simu zake zootw ni zamaana tu ..Mara apigiwe simu na madalali kuhusu viwanja...Mara apigiwe simu na benk kumkumbushia check yake Mara aambiwe kesho kutwa Kuna semina Njombe ...yaan Hakawii kukuamnia twende kibaha kuchek kiwanja ukanishauri...Sasa uje kwa ndugu zangu na mimi wale wengine ..akijua mwanamke anahela utasifiwa had kuchwe...kazi kunywa tu na kuparty..ukimchungulia simu yake anabet [emoji21][emoji21]...chini kavaa Raba nyeupeeeeeeeee utadhani ni form six leaver....pyeee...na kipensi kifupi anashindana na Wangari kuonesha mapaja[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]! Ukienda washrooma jamaa unamkuta anajitizama kwa kioo[emoji1732]Deals zake Sasa...za kuunga unga unga Sana had kero..mechi zote analazimisha mchek[emoji57][emoji17]! Oh hapana Asante jamani bye!
Hii comment yako imenifanya nirudie huu uzi
 
..Sasa uje kwa ndugu zangu na mimi wale wengine ..akijua mwanamke anahela utasifiwa had kuchwe...kazi kunywa tu na kuparty..ukimchungulia simu yake anabet 😣😣...chini kavaa Raba nyeupeeeeeeeee utadhani ni form six leaver....pyeee...na kipensi kifupi anashindana na Wangari kuonesha mapaja🤣🤣🙌🙌! Ukienda washrooma jamaa unamkuta anajitizama kwa kioo🤸Deals zake Sasa...za kuunga unga unga Sana had kero..mechi zote analazimisha mchek😏😔! Oh hapana Asante jamani bye!
Kama umeniona vile. Yaani this is so me! ila umenilipua sana khaah!
😂😂😂😂 Vioo, Vipensi, Kumsifia Msichana mpaka basi na Kubet.
Typical me... So so me!
 
Tangu
Mtusamehe jamani[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119], sasa mtu unapendwa tu na wanawake hata nane,nguvu ya kuhonga hela unapata wapi? Unawadanga tu [emoji23][emoji23],na hela ya kubeti wanakupa wenyewe,we unawapangia ratiba ya mgegedo tu.na hatufanyagi makosa tunanyonya viungo vyote vya mwili.show..show...lazima mwanamke alete hela.yeye anakuwa anakuhitaji zaidi ya wewe unavyomuhitaji.. why bother...?
Tangu lini hb mkajua ku_omba!!!! Eti kazi kuwapangia ratiba ya kugegeda nyooooo!!!!
 
Back
Top Bottom