Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Ndio maana hata sisi hatutaki mademu wakali maana watatusaliti.....afu ebu pata pcha Mungu angetupa ela,Tango na u Hb Hawa sura mbuzi wangemgonga nani?au polygon wangegongwa nanan.....?
 
Ila na cc ma hendisamu tunapenda wadada wenye sura privacy,Mungu katujalia sana maana tuna enjoy zaid tukiwa na hawa dada zetu ambao hawajabarikiwa sura
Nipe siri ya hii makitu
 
Naomba mkituona tukiwa nao msitushangae ,uwez amin m mwenyew nna wangu na huwa nkimkosea huwa naomba msamaha hadi napiga magoti ili anisamehe,ukimuona ni wa kawaidaa sana ila vile nshapenda sina namna
Ha ha ha

Halafu we bonge la HB
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Mungu tu anabalansi,tungepata taabu sana sie wabaya...hata nyie,wazuri wengi hawana tako
 
Tafuta sura Ya Kazi ule maisha Ndugu, binadam huishi Mara moja tu, achana na sura Ndugu haya maisha yana raha yake
Ndo maana siku hzi unakutana na mwanamke mzuri mwanae sura ya dagaa.
By the way mtoto ni mtoto tu hata afanane na mpoki endeleeni kula maisha na watu wenye sura ngumu mwanaume hasifiwi sura buana maisha ni mafupi sana
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Tafuta pesa acha shobo na ujifunze kuandika kwanza ndipo urudi humu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌...+mie weusi na uwe na mikono ya misuli+ndevu za kutosha na migadenlov😅😅...nakosaga neno..ntaongea Nini Sasa hapo!?sijui unanimanya!...yaan muda wowote hata ukipata chembe ya Moto unaweza nyanyuliwa nduki mgongoni😅😅

Mwanaume mwenye hela automatic anakufanya ukose kujishongondoa..simu zake zootw ni zamaana tu ..Mara apigiwe simu na madalali kuhusu viwanja...Mara apigiwe simu na benk kumkumbushia check yake Mara aambiwe kesho kutwa Kuna semina Njombe ...yaan Hakawii kukuamnia twende kibaha kuchek kiwanja ukanishauri...Sasa uje kwa ndugu zangu na mimi wale wengine ..akijua mwanamke anahela utasifiwa had kuchwe...kazi kunywa tu na kuparty..ukimchungulia simu yake anabet 😣😣...chini kavaa Raba nyeupeeeeeeeee utadhani ni form six leaver....pyeee...na kipensi kifupi anashindana na Wangari kuonesha mapaja🤣🤣🙌🙌! Ukienda washrooma jamaa unamkuta anajitizama kwa kioo🤸Deals zake Sasa...za kuunga unga unga Sana had kero..mechi zote analazimisha mchek😏😔! Oh hapana Asante jamani bye!
nimekidhi vigezo dada tubonge zaidi pm
 
Back
Top Bottom