Sijafahamu vizuri isipokuwa nazani kumpenda mtu kwa that hakupaswi kuzingatia muonekano wa nje wa mtu pekee au pesa au mashine pekee, inapaswa kuzingatia mambo kadha wa kadha matharani;
- moyo safi (asiye na hasira kali, asiye na mkono, mwenye huruma, mwenye subira, mvumilivu, asiye husudu, asiyehesabu mabaya, mwaminifu , mwenye utulivu, mwenye kujua kuitunza familia , mchaji Mungu, n.k
- mwenye kujua kuwajibika ktk kutunza familia Yani mke, watoto, wazazi , kutoa sadaka kanisani au msikitini, kama shiriki maswala ya jamii n.k
- mwenye maono
- Mtulivu Yani asiyechapuka kabisa!
N.k
Naweza andika kitabu!