whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,570
- 4,455
Handsome hivi bado wapo ? Huku kwetu waliisha tangu Kikwete aende zake 😂😂😂😂😂
[emoji6]tupo Ila sikuizi utashangaa kutuona na ma overall Ferry tukifanya kaziHandsome hivi bado wapo ? Huku kwetu waliisha tangu Kikwete aende zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaongea na mimi au🤷maana hizi habari sijakuulizaNi bonge la HB la kisukuma,sina time na wanawake wala nini ,nina ndoa ina miaka 10,niliwahi kuteleza kuchepuka miaka 7 imepita,hayo maisha niliishi miaka 15 iliyopita.siko unavyodhani..
[emoji1787] waambie pia wajue Kuna wanaume handsome na wanaume Warembo[emoji108]Handsome hivi bado wapo ? Huku kwetu waliisha tangu Kikwete aende zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani nahangahika sana na jinsia ya kike,najifurahisha tu humu ,pole kama una msongo wa mawazo,naona unaichukulia jf siriaz as if tunajuana..hebu pita hivi...[emoji1745][emoji3603][emoji117][emoji117][emoji117]Unaongea na mimi au[emoji1745]maana hizi habari sijakuuliza
Hahahaha mxiiiiieeeewUnadhani nahangahika sana na jinsia ya kike,najifurahisha tu humu ,pole kama una msongo wa mawazo,naona unaichukulia jf siriaz as if tunajuana..hebu pita hivi...[emoji1745][emoji3603][emoji117][emoji117][emoji117]
[emoji3][emoji3][emoji3] mxiiiieeew mwenyewe...Hahahaha mxiiiiieeeew
Unaogopa wanaume ma handsome sababu unaogopa hutakuwa mwenyewe kwenye relationship. 😋[emoji1787] waambie pia wajue Kuna wanaume handsome na wanaume Warembo[emoji108]
Nadhani wengi waliopo Sasa Ni warembo
sawa japo umebeba dhana isiyo sahihiHaman
Hamna kitu na sitengui kauli, hamnishtui kbisa nawaonaga km mademu wenzangu tu
[emoji4][emoji4] HB sikuizi wako shule tu in real life ni kazi kaziMa HB uzi huu ni wenu, poleni sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cocastic nawe unaogopa ma HB eeh? 😂 Nawe unaogopa HB sababu hutakuwa peke yako kwenye relationship.Ma HB uzi huu ni wenu, poleni sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂 nawe unapinga ma HB. Kwa nini lakini?[emoji4][emoji4] HB sikuizi wako shule tu in real life ni kazi kazi
Sipingi Ila mi ni man sio lady[emoji23][emoji23] nawe unapinga ma HB. Kwa nini lakini?
Mmepotezwa kwisha kabisa mmechakaa 😂😂😂😂😂[emoji6]tupo Ila sikuizi utashangaa kutuona na ma overall Ferry tukifanya kazi
😂😂😂😂😂😂 acha nikae vizuri umeseamaaaaa???[emoji1787] waambie pia wajue Kuna wanaume handsome na wanaume Warembo[emoji108]
Nadhani wengi waliopo Sasa Ni warembo
Wacha wee basi vizuri mnoooh.[emoji4][emoji4] HB sikuizi wako shule tu in real life ni kazi kazi
Wala hata siogopi chochote, but sina interest na mahusiano. Mie mtawaCocastic nawe unaogopa ma HB eeh? [emoji23] Nawe unaogopa HB sababu hutakuwa peke yako kwenye relationship.
Mtawa!! No way! 😂😂😂Wala hata siogopi chochote, but sina interest na mahusiano. Mie mtawa
Weee acha uzushi, usitake kunipeperushia ndege wangu humu[emoji23]Hahhaha we muhandsome bwana