Apumzike kwa amani mbinguni!Hahaaaa unyanyasaji upi mkuu. Any way hakuna haja ya kumtaja mgonjwa hadharani bila ridhaa yake.
Spika ni boss wa mhimili wa bunge. Kikatiba ni muhimili unaojutegemea na haupokei maelekezo kutoka serikalini. Vivyo hivyo na JMkuu na mhimili wa mahakama.Hivi anaruhusiwa kutoa taarifa za corona! Mbona rais hakumtaja kwenye ile list?
Lazima wawe chini ya uangaliziNa vile hapo Bungeni wana mpaka CANTEEN, wafungiwe tuu hapo hapo
Nenda Mloganzila ukaone wagonjwa ndio uje useme hayo uliyosema. kuna mkuu alisema yeye ni mwanaume haogopi korona, sasa hivi yupo wapi? Kajichimbia tuCorona ni ugonjwa wa kawaida Mkuu, sema Wazungu wame overreact na sisi temepokea hivyo Hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
BwasheeNakumbuka Naibu Spika Dr Tulia alipata kututangazia habari ya mbunge mmoja kupata maambukizi ya Corona na kwamba alitokea Dsm.
Siku chache zilizopita tumehadithiwa habari za mbunge huyo kuendelea vizuri na zamu hii mtoa taarifa alikuwa Spika Ndugai.
Nauliza tu kama kuna hatua za ziada zilichukuliwa kuhakikisha maambukizi hayasambai ikiwemo kupulizia dawa ukumbi wote wa bunge na canteen, je bunge lilichukua hatua zozote?
Maendeleo hayana vyama!
Nakumbuka Naibu Spika Dr Tulia alipata kututangazia habari ya mbunge mmoja kupata maambukizi ya Corona na kwamba alitokea Dsm.
Siku chache zilizopita tumehadithiwa habari za mbunge huyo kuendelea vizuri na zamu hii mtoa taarifa alikuwa Spika Ndugai.
Nauliza tu kama kuna hatua za ziada zilichukuliwa kuhakikisha maambukizi hayasambai ikiwemo kupulizia dawa ukumbi wote wa bunge na canteen, je bunge lilichukua hatua zozote?
Maendeleo hayana vyama!
Jibu hoja weweWabunge wa Chadema wanaogopa corona na bado wanajiita makamanda aibu
Wabunge wa upinzani walichukua hatua ya kwenda kupima na kukaa karantini.Nakumbuka Naibu Spika Dr Tulia alipata kututangazia habari ya mbunge mmoja kupata maambukizi ya Corona na kwamba alitokea Dsm.
Siku chache zilizopita tumehadithiwa habari za mbunge huyo kuendelea vizuri na zamu hii mtoa taarifa alikuwa Spika Ndugai.
Nauliza tu kama kuna hatua za ziada zilichukuliwa kuhakikisha maambukizi hayasambai ikiwemo kupulizia dawa ukumbi wote wa bunge na canteen, je bunge lilichukua hatua zozote?
Maendeleo hayana vyama!
nchi 8, sawa ila zeneywe zimeanza kuamua kufunga mipaka kama zambiaHaina haja kuogopa. Corona ni kagonjwa kadogo sana. Haina haja kupaniki, tuendelee kuchapa kazi tu. Uchumi wetu ni mzuri na by the way kuna nchi 8 zinategemea nchi yetu kwa bidhaa zao.
Mie sijamjua ni Nani?Waliendelea kuficha tu mkuu!! Kukosa "RAIS WA TWITA" kutuambia tusingemjua.
Rais wa Twita - KigogoMie sijamjua ni Nani?
Alieumwa kakolona bwana ndo nataka kumjua.Rais wa Twita - Kigogo
Rais wa Insta - Mange
eMungu Ni Mwema Wakati Wote
Tunusuru Na Corona Virus Diseases 19 Inatumaliza