Nahitaji mwenza

Sperm donar huhitaji kujua historia yake.??
Kuna namna nyingi za kupata mwenza, kama nilivyokwisha kuelimisha hapo juu. Si ajabu hata hao unaoenda kuwaambia wakutaftie wao hawakutafutiwa.

Kama ulichakura chakura na ukapata wa kukupa mimba bila shaka hata mimi nitapata.

Ninaetaka mke ni mimi sio wao.
 
Ni kama haiwezekani, kila unapogusa ni ana mtoto/watoto tena sometimes watoto wakubwa kabisa asiee wako sekondari.
Kwasababu wanaume waharibifu sana, wakati nyie mnasubiri yaive wao walikuwa wanahangaika na mawe kila siku kupopoa maembe wale na chumvi.

Sema mbona mabinti wapo: kwenye ukoo wetu wako wengi, unamarried girls over 18 under 25 wapo kadhaa, ni pisi za kwendea na kurudi, sisi wenyewe wacheza kwaito tunasubiri tufanye yetu ukumbini lakini muda unaenda tu sijui mnakwama wapi vijana, hata tukiwauliza mabinti hawaeleweki! !
 
Mbona una mipasho sana ndugu mtafuta mchumba kwemaaaπŸ˜‚
Yaan umecatch feelings kwa haraka hadi nimekuhurumia, kwa uzoefu wa kukaa jf zaidi ya miaka 10 nimeiona multiple ID na nimekushajua lol, nikutakie uchakuraji mwema wa mke hapa JF utualike harusiπŸ₯‚πŸ’ƒ
 
Kila la kheri mkuu
 
Hebu naomba nisanue huyu kinyonga ni nani? Anatukana watu na anataka mke mwema lol😁
 
Ndio kimbilio lenu girls, mkipewa jibu sahihi mnaita "mipasho".

Umecatch feelings wewe mkuu, am normal.

And Yes, nakujibu vile unakuja.
Sina multiple ID, kama unahisi ninayo nyingine waombe mods waiunganishe.
 
Nataka nikushauri ushauri ambao ukishindwa kuufanyia kazi basi ndo basi tena. Fanya hivi, tafuta mwanamke mzuri mtaani kwako ambaye kwa tabia unaona kabisa kuwa wife material,usimtongoze, ulizia kwa majirani kuwa huyu binti ameolewa ama la, ana mtoto au hamna, ikiwa amekithi vigezo nenda kwa wazazi wake kuchumbia,niamini mimi hakuna msichana anaekataa kuchumbiwa. Lakini huyohuyo msichana ukimtongoza mtaani na kuonesha nia ya kumuoa hawezi kukubali. Ahsante na naomba mrejesho baada ya mafanikio. Kwako kaka mkubwa Manyanza
 
Ndio kimbilio lenu girls, mkipewa jibu sahihi mnaita "mipasho".

Umecatch feelings wewe mkuu, am normal.

And Yes, nakujibu vile unakuja.
Sina multiple ID, kama unahisi ninayo nyingine waombe mods waiunganishe.
Hahahahaha wewe ndio maana hupati wachumba hata mtaani kwenu, una taarabu sana, wanawake wanaojielewa hawawezi kudate na mwana mipasho halafu broke, nakupa siri ishi nayo hiyoo (ulivyo ndezi utaendelea kubinua midomo hapa, lol) naenjoy sana πŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Mkuu nimepost, wewe ndo umekuja kureply, napokea ushauri wako but still unaniandama.

Shida nini?

Unataka kuolewa na una mtoto??
 
Hakika Mkuu Kinachotakiwa afanye uchunguzi kwa kina na kwa hekima akishajiridhisha aende nyumbani kwa wazazi /walezi wa huyo mwanamke akajitambulishe kwa heshima

Hakuna mwanamke asiyetaka kuolewa lakini inatakiwa huyu jamaa awe na commitment kama amemuona huko mtaani kwake achukuwe hayo maamuzi, aachane na hawa wa mtandaoni wengi wana changamoto nyingi sana. Hasa wanaojifanya washiriki sana wa mada na waandishi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…