Nahitaji mwenza


Ni rahisi sana, kaangalie afya yako ya akili, Mimi Nina 52 na ninaishi na Graduate / Masters / CPA mwenye 28 years
 
Ndoa/Mahusiano ngono ikiwa ndo kama kernel ni ngumu sana kudumu.
Let things flow! Unajioangia mahusiano na ndoa kama vile unatafuta shareholder kwenye kampuni! Watu wanafall in love na waganga ohoo.. labda kama abataka tu wakubaliane wakakae ila sio kwa mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…