Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

Hajatekwa mtu jana?
Maamaa-eeh😬
Kama nawaona vijana wa Mafw3l3.. wanapaka mafuta chupa wampige mtu AgathAtuhaireBoniMwangi-style.
 
Niko bored,
Nani yupo tayari tutoke,awe mwanamke mwenzangu au mwanaume ni sawa,hata tukiwa sita au kikundi ni sawa pesa ya bili chini ya laki mbili ninayo.

Nahitaji sura mpya,Mawazo mapya na nijifunze vitu vipya ,nitatokea kinyerezi,kuelekea Mawasiliano Ubungo,hapo tutapanga tukutane wapi.situmii pombe lakini

Karibuni
Unaweza kucheza mziki nije kukupa kampani ukalale woiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom