Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

Hongera kutenga muda wa kupumzika/ to have fun

Ungekuwa na familia hasa mume na watoto/mtoto ingefaa zaidi

Mnatembelea bichi kadhaa hapo Kigamboni mkifurahia na kula mishikaki ya samaki pamoja

Uwe na Weekend njema mjukuu
 
Sogea THE VOICE hapa tufurahie weekend mrembo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom