Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

Niko bored,
Nani yupo tayari tutoke,awe mwanamke mwenzangu au mwanaume ni sawa,hata tukiwa sita au kikundi ni sawa pesa ya bili chini ya laki mbili ninayo.

Nahitaji sura mpya,Mawazo mapya na nijifunze vitu vipya ,nitatokea kinyerezi,kuelekea Mawasiliano Ubungo,hapo tutapanga tukutane wapi.situmii pombe lakini

Karibuni
Kama hutumii pombe si ubaki nyumbani kwako tu, upike matembele ule na wanao, usije ukawajazia inzi wenzako.

Halafu pia watu wasiotumia pombe nasikia ni wachoyo wa kushare madini!
 
Umeingia na gia kali sana .....

Kuna wazenge watakula za uso......

Leo hujaamkia wakubwa zako sio
 
Niko bored,
Nani yupo tayari tutoke,awe mwanamke mwenzangu au mwanaume ni sawa,hata tukiwa sita au kikundi ni sawa pesa ya bili chini ya laki mbili ninayo.

Nahitaji sura mpya,Mawazo mapya na nijifunze vitu vipya ,nitatokea kinyerezi,kuelekea Mawasiliano Ubungo,hapo tutapanga tukutane wapi.situmii pombe lakini

Karibuni
Hutumii pombe sasa tunabidilishanaje mawazo?
 
Niko bored,
Nani yupo tayari tutoke,awe mwanamke mwenzangu au mwanaume ni sawa,hata tukiwa sita au kikundi ni sawa pesa ya bili chini ya laki mbili ninayo.

Nahitaji sura mpya,Mawazo mapya na nijifunze vitu vipya ,nitatokea kinyerezi,kuelekea Mawasiliano Ubungo,hapo tutapanga tukutane wapi.situmii pombe lakini

Karibuni
Bangi unatumia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom