Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

BCE90B92-D0F8-4D2E-A559-BFF18FFAEC36.jpeg
 
Kwani ulishawahi kufanya kwenye media wakakulipa tofauti?
Kuna media naijua wanalipa hiyo pesa kwa video Editor, hapa Tz n hiyo media tuu, hakuna media nyngn inayoweza kukulipa hvy.

Sasa huyo hapo n private afu pia sio media ndo mana napata wasiwasi na huo mshahara.
 
Back
Top Bottom